Naipenda DAR,my City

Naipenda DAR,my City

Kila mtu mzima anaejimudu anapapenda alipo ndio maana yupo hapo.
Wa Mwanza ndipo alipopapenda, wa Dom anapapenda Dom, wa Tandahimba nae halikadhalika.
Kila mji una wahamaji na wahamiaji.

Kwa Tz hii aisee napapenda Dar na joto lake, vurugu, foleni, biashara, starehe, kazi, kusoma, matibabu... n.k,

Pamoja na kuwa wame-settle huko wanakokupenda, ila Dar LAZIMA waje, eidha kutembea au iliku-survive huko walipo! Tofauti na mkazi wa Dar kutaka kwenda huko walipo wengine!!
Watu wa New York wanasema they are not concerned with what is going on in the world, but the world is concerned with what is going on in New York. Na kiukweli, many New Yorkers don't give a damn what's goin on in the world!
Ndo ilivyo Tz, Dar ni kama New York!
 
kuna aliekulazimisha uje DAR? baki huko huko hatuwezi kuishia DAR wote..naipenda DAR. my city

Hata wakijenga huko, ni LAZIMA waje kuchungulia huku tunafanya nini! Hii haikwepeki kwa mtanzania wa leo!! Mtu wa bara ataiponda sana Dar, ila muulize, ameshafika Dar mara ngapi? Na je huwa anashikiwa bunduki kuja au anajileta mwenyewe??
Naipenda Dar, my City! Hata Navy SEALs hawanitoi hapa!!
 
Pamoja na kuwa wame-settle huko wanakokupenda, ila Dar LAZIMA waje, eidha kutembea au iliku-survive huko walipo! Tofauti na mkazi wa Dar kutaka kwenda huko walipo wengine!!
Watu wa New York wanasema they are not concerned with what is going on in the world, but the world is concerned with what is going on in New York. Na kiukweli, many New Yorkers don't give a damn what's goin on in the world!
Ndo ilivyo Tz, Dar ni kama New York!

huu ni ukweli ila wengine watabisha tu
 
Hata wakijenga huko, ni LAZIMA waje kuchungulia huku tunafanya nini! Hii haikwepeki kwa mtanzania wa leo!! Mtu wa bara ataiponda sana Dar, ila muulize, ameshafika Dar mara ngapi? Na je huwa anashikiwa bunduki kuja au anajileta mwenyewe??
Naipenda Dar, my City! Hata Navy SEALs hawanitoi hapa!!

pamoja....hata uniambie nichague miji mitatu ya kuishi duniani DAR lazima iwepo
 
samaki samaki. high spirit. club rouge.rhapsody
savannah lounge.elements.wantashi.escape one. slipway. capetown fish market. newscafe. slipway. stake ranch.george and dragon.havana lounge hizo ni sehemu chache tu simple ambazo zitakufanya uipende DAR
 
Katika Mji Mikuu Mizuri duniani labda Mji wa Dares-Salaam ni mji wa Mwisho wa kwa uzuri kuna Mji mizuri hapo Afrika kuliko Mji wa Dares-salaam.
 
samaki samaki. high spirit. club rouge.rhapsody
savannah lounge.elements.wantashi.escape one. slipway. capetown fish market. newscafe. slipway. stake ranch.george and dragon.havana lounge hizo ni sehemu chache tu simple ambazo zitakufanya uipende DAR
Sea Cliff n Double Tree
 
ImageUploadedByJamiiForums1422154609.573789.jpgkaribu beer
 
Nashukuru umeweza kumjibu kama inavyotakiwa.

kwa upande wangu sikaa dar wala sitanunua kiwanja sehemu yoyote dar.

kama kujenga gorofa nitajenga huku huku kijijini kwetu.

uko sahihi kabisa mkuu. Kuna wengne hapo wanaimba tu dara, dar dar lakn hizo sehem nzuri za dar wanazionna kwa mbaali zikifaidiwa na wa asia....

Si bora nibaki hukuhuku kwetu matema nikila upepo wangu wa nyasa freshiiiiii
 
Hata wakijenga huko, ni LAZIMA waje kuchungulia huku tunafanya nini! Hii haikwepeki kwa mtanzania wa leo!! Mtu wa bara ataiponda sana Dar, ila muulize, ameshafika Dar mara ngapi? Na je huwa anashikiwa bunduki kuja au anajileta mwenyewe??
Naipenda Dar, my City! Hata Navy SEALs hawanitoi hapa!!

dar ntakuja kupata mahitaji kama ambavyo naweza kwenda moshi, arusha, na hata kagera lakn yawezekana ni sababu ya kutotembea miji mbalimbali ukauona utofauti ndio maana unaiyona dar ni mbingu ndogo
 
uko sahihi kabisa mkuu. Kuna wengne hapo wanaimba tu dara, dar dar lakn hizo sehem nzuri za dar wanazionna kwa mbaali zikifaidiwa na wa asia....

Si bora nibaki hukuhuku kwetu matema nikila upepo wangu wa nyasa freshiiiiii

nimeweka sehemu zinazonifanya niipende DAR kama wewe unaona ni za wsasia tu pole baki na hio mentality yako....huna haja ya kuwa tajiri kuingia hizo sehemu....we baki huko huko matema si kila mtu ataishi dar
 
Back
Top Bottom