Naipenda DAR,my City

Naipenda DAR,my City

ni vizuri,, umeonyesha uzalendo,,, lakin bado mji wetu wa dar unakosa vitu vingi,,, ambavyo vingeufanya uwe mzuri zaidi,, mji bado ni miongoni mwa miji michafu duniani,, haujapangwa,, unabarabara chache,, hauna public spaces, parks and gardens,, pia hauna waterfront nzuri,, etc,, wajitahidi
 
Hivi ilikuwaje mpaka mkalikataa jina halisi la Mzizima mkaja paita Dar es salaam? Kweli ni pazuri ila kuna joto kama kuzimu lol, mi napachukia sana kutokana na hali yake ya hewa na wingi wawatu.
 
mji bado unakua....hata roma haikujengwa kwa siku moja.
 
Hivi ilikuwaje mpaka mkalikataa jina halisi la Mzizima mkaja paita Dar es salaam? Kweli ni pazuri ila kuna joto kama kuzimu lol, mi napachukia sana kutokana na hali yake ya hewa na wingi wawatu.

aisee historia hii siijui
 
Back
Top Bottom