Naipenda CCM, Mungu aibariki

Angalia usiuwe ukoo wako kwa kujiangalia wewe mwenyewe tu, angalia na hali za wengine.
 
Utakuwa una ugonjwa unaitwa post-traumatic stress disorder (PTSD)
 
Kuna mtu kagonga LIKE hapo ngoja nikae kimya!
 
Ccm hii hii ya mafisadi kina Kikwete, Kinana, nk, au kuna nyingine?
 
Kama hujalogwa basi itakuwa ulizaliwa na matatizo ya akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…