Naionya China, isijaribu

Naionya China, isijaribu

Vikwazo Kwa warusi SII jambo geni na ndio maana wapo tayari kupambana na mabeberu na kutafuta ushawishi duniani Kwa gharama yeyote,mwanajeshi kufa vitani ni sehemu ya kazi kama ilivyo kazi zingine na porojo za beberu wala hazimtishi kwani adui hukuombea njaa siku zote🤔
Ok mkuu ngoja tusubiri mwisho wa vita ya Ukraine ndo tutajua ni nani atakaekuwa katika maumivu zaidi.
 
Kwanini mkuu.
Kwa sababu alikuwa na uthubutu na maamuzi magumu.hawa wa sasa ni waoga sana tokea utawala wa Deng Xiaoping mpaka Sasa Xi Jinping sijaona mtu mwenye uthubutu Kama Chairman Mao Zedong labda mbeleni watabadilika . Taiwan kurudi China inahitajika maamuzi magumu na uthubutu wa hali ya juu.
 
Kuna watu wana mahaba Niue humu,wanajifariji kwamba urusi haiathiriki chochote kutokana na hii anayoiita special epereshen,hawajiulizi hata swali la kawaida tu kwamba marekani pamoja na nguvu zake zote alizonanazo, uchumi imara, silaha kibao, mbona hajawai kuingia vitani peke yake mpaka aombe kolabo ya washirika wake?? .., hakuna kitu kinafilisi uchumi kama vita
Unauliza swali kisha unajijibu mwenyewe, vita inafilisi uchumi balaa tupu. Westerners wanapenda bata sana kwenye mataifa yao na kuwaingiza vitani watoto wawatu lazima uwe na sababu za kutosha.
 
Hiyo miaka 5 kuna maghala ya silaha za marekani yatakuwa yameisha maana hata javelin maghala yake ya hapo ulaya yameisha juzi
Marekani ina akiba ya silaha kubwa ambazo kamwe haiwezi kuzitumia katika vita isio yake. Hizo silaha unazoona anazituma kwa Ukraine ni used hazina mantiki yoyote kwa marekani sasa hivi.
 
Kwa sababu alikuwa na uthubutu na maamuzi magumu.hawa wa sasa ni waoga sana tokea utawala wa Deng Xiaoping mpaka Sasa Xi Jinping sijaona mtu mwenye uthubutu Kama Chairman Mao Zedong labda mbeleni watabadilika . Taiwan kurudi China inahitajika maamuzi magumu na uthubutu wa hali ya juu.
Nakusoma sana inaonekana unapenda sana sera za ujamaa with Chinese characteristics. But we can't live with a single reality as long as we live in the world with full of diversities. Mao was a ruthless hero.
 
Vita urusi imepata faida hasa kuyachukua maeneo muhimu kama kinu kikubwa kabisa cha nuclear hapo ulaya na sehemu zenyewe migodi mingi na viwanda vingi hapo urusi imechukua karibu asilimia 95 la eneo lote la kulima ngano hapo Ukraine

Upande WA vikwazo kila mtu ni shahidi vikwazo vimewapiga wao kuliko hata urusi na kupelekea regime change

Ukweli mchungu hii vita West wameishiwa mbinu hata himars zimeshindwa kufua dafu kwa urusi ha ha ha ha ha ha ha ha ha Putin aliletwa kuwashughulia hawa wapuuzi WA

Vita urusi imepata faida hasa kuyachukua maeneo muhimu kama kinu kikubwa kabisa cha nuclear hapo ulaya na sehemu zenyewe migodi mingi na viwanda vingi hapo urusi imechukua karibu asilimia 95 la eneo lote la kulima ngano hapo Ukraine

Upande WA vikwazo kila mtu ni shahidi vikwazo vimewapiga wao kuliko hata urusi na kupelekea regime change

Ukweli mchungu hii vita West wameishiwa mbinu hata himars zimeshindwa kufua dafu kwa urusi ha ha ha ha ha ha ha ha ha Putin aliletwa kuwashughulia hawa wapuuzi WA West
Kwa hyo Sasa hivi Russia analima na kuvuna ngano kwa amani Hilo alikoteka Ukraine bila kusahau anafyatua ma- nuclear weapons Kama mchwa hapo Ukraine 😀😀😀 dah once ignorant always ignorant!
 
Yaani wabongo bana😂😂😂, unakaa nchi ya ulimwengu wa tatu, kwenye dampo la dunia, unajitia kuwashauri viongozi na serikali ya Russia na China yenye agents hatari wanayoijua hii dunia?
Umekula ugali wako na muhogo umeshiba unakuja kudhani una ijua kesho ya Russia kuliko FSB? Raisi tu wa Russia ni former KGB, serikali ya Ukraine ina agents wengi tu wana leak data...

Unaijua China kuliko MSS? Chinese wana puppets wengi tu serikali ya Taiwan, tunajua machache sana...

Russia wanajua walifanyalo, walishajiandaa, kila kitu kipo calculated...

Kama umeshiba ugali better ukae chini ufuatilie bifu ya Harmonize na Diamond na udaku wa insta, huwezi ijua China au Russia kama agents wao ambao hawalali, wana risk afya zao na maisha yao, wamesomea ukachero na wanaishi ukachero na wanakula kikachero hata mapenzi ni kikachero, wakipumua ni ukachero... Ogopa sana hio...

Kwamba Russia imeingia mtegoni😂😂😂, Huyo ni mbongo, hivi vile vichwa vyote vya wale wazee pale Moscow vyenye mvi, makachero wabobezi toka USSR hawakujua plans za US?😂😂

Inaskitisha sana kwa kweli..
Kutoa maoni sio dhambi usipangie watu cha kuongea kama dampo unaushi wewe kunguni mkubwa. Unafikili Russia wana mili ya chuma, unafikili askari wa Russia wanavyofanya mauji ya watoto roho haziwaumi baada ya vita Kuna wengine watapata uchizi ( postpartum depression ). Awe beberu wala Russia hakuna anaeweza kushinda vita ya uonezi.
 
Nakusoma sana inaonekana unapenda sana sera za ujamaa with Chinese characteristics. But we can't live with a single reality as long as we live in the world with full of diversities. Mao was a ruthless hero.
Mkuu Mimi Kama Mimi napenda ujamaa tena Sana .Ila sihitaji wala sipendi kuona ardhi yetu ya Tanzania inaongozwa na mfumo wa chama kimoja hicho kitu Mimi mwenyewe nipo mstari wa mbele kukipinga kwa kuwa kimekwisha Leta matokeo hasi kwetu kwa zaidi ya miaka 60 CCM imetawala bila maendeleo yoyote kutuletea . Mimi ni muumini wa mfumo wa vyama vitatu vyenye nguvu na mgombea binafsi . Pia sipendi kuona serikali ikilazimisha nchi kuongozwa kwa ujamaa kwa 100% au ubepari kwa 100% Mimi napenda kuona serikali ikichukua Yale yaliyo mazuri kwenye ujamaa na kuyatumia na kuchukua Yale yaliyo mazuri kwenye ubepari na kuyatumia kwa faida ya maendeleo ya nchi. Ndio maana namejipachika mjamaa wa kisasa kwa sababu napenda ujamaa uwe kisasa wenye faida ukubali kukopa na kuungiza mambo yenye faida yaliyo nje ya ujamaa kwa sababu Mimi naamini ujamaa unapaswa kuwa mfumo ulio hai unapaswa kukua na kubadilika kutokana na wakati , mazingira na watu ili ulete faida role model wangu wa ujamaa wa kisasa ni mtaalamu Deng Xiaoping. Ni hayo tu machache mkuu😄
 
Back
Top Bottom