Jana waziri mkuu akiwa ziarani kigamboni kaimu mkuu wa mkoa Ali Hapy alimchomekea kuhusu posho watumish inayotumika vikao kwa kununu a vitafunwa na chai na kuamuru zifutwe nimeskia leo magazetini na posho za mazingira magumu zimefutwa binafs naona kama huku nikupunguza morali kwa wafanyakazi haswa walioko ktk mazingira magumu