Watumishi wa umma wapoteza morali ya kazi

Billie

JF-Expert Member
Aug 13, 2011
12,737
19,886
Sitaki kuongea mengi ila utumishi wa umma umejaa hofu,wanasiasa wanafoka foka ovyo mixer kututisha ili waonekane wamekuwa wakali kama mkuu,mbaya zaidi hakuna nyongeza za mshahara marupu tupu na posho zimefutwa wizi wa hapa na pale hakuna kwa kweli kungekuwa na uelekeo mwingine tungeacha kazi sema tu hatuna namna aisee.
USHAURI: ILI SERIKALI IFIKIE MALENGO YAKE IHAKIKISHE INARUDISHA MORALI ILIYOPOTEA KWA WATUMISHI LA SIVYO TUTAJUA CHA KUFANYA 2020.
NAWASILISHA.
 
Hii nchi siyo ya wafanyakazi was umma tu. Hii ni nchi yetu wote pia na wafanyabiashara, wakulima, wavuvi, wanafunzi, watoto, wazee, n.k. Mkizila sie twala. Wako jobless kibao mtaani na kila mwaka vyuo vinatema!
 
Tatizo ni wewe binafsi unalalamika wenzako tunachapa kazi na mambo yanaenda
Sitaki kuongea mengi ila utumishi wa umma umejaa hofu,wanasiasa wanafoka foka ovyo mixer kututisha ili waonekane wamekuwa wakali kama mkuu,mbaya zaidi hakuna nyongeza za mshahara marupu tupu na posho zimefutwa wizi wa hapa na pale hakuna kwa kweli kungekuwa na uelekeo mwingine tungeacha kazi sema tu hatuna namna aisee.
USHAURI: ILI SERIKALI IFIKIE MALENGO YAKE IHAKIKISHE INARUDISHA MORALI ILIYOPOTEA KWA WATUMISHI LA SIVYO TUTAJUA CHA KUFANYA 2020.
NAWASILISHA.
 
Utumishi wa Leo ni wa kisenge,
Watu wanaambiwa usimhamishe mtumishi bila kumlipa ila majamaa bado yanahamisha tu na hayalipi, na wanakulazimisha uende kazini,

Sasa unajiuliza hawa jamaa ni wasenge kiasi gani,

Madaraja hawapandishi watumishi,

Ukiongea unaonekana weww ni mpinzani.

Huu ni ufala
 
Mbona hawaachi hizo kazi basi,.....ili wasio nazo wazijaribu izo kazi kama kweli hazilipi?Haiwezekani Kazi ni mbaya lkn huiachi iyo kazi kujaribu fursa zingine wanazing'ang'ania....mjue nyie watumishi saa zingine mnatuchosha...!!
"Mnatuchosha" kina nani.Watu wanadai haki zao unasema wanatuchosha? kwanza rekebisha usemi wako,sema mnanichosha, acha kabisa kutuunganisha huko.Ni mwaka wa ngapi sasa mshahara ni uleule,vitu bei imepaa kuanzia vyakula,usafiri,ada za watoto shule (Hakuna elimu ya bure) zimepanda,lakini mshahara ni uleule since 20...mpaka leo.Jamani waoneeni huruma hata wao wanafamilia,wamepangisha nyumba n.k.Lugha ya kebehi ya eti mnatushosha ife.Kama unachoshwa funga macho na masikio.
 
Kwa hiyo na wewe unatutisha sio? Si hatuachi kazi na mlio mtaani komaeni kivyenu so kila mtu aumie alipo.NIMEWASILISHA YANAYOTUSIBU SISI.
Hii nchi siyo ya wafanyakazi was umma tu. Hii ni nchi yetu wote pia na wafanyabiashara, wakulima, wavuvi, wanafunzi, watoto, wazee, n.k. Mkizila sie twala. Wako jobless kibao mtaani na kila mwaka vyuo vinatema!
 
"Mnatuchosha" kina nani.Watu wanadai haki zao unasema wanatuchosha? kwanza rekebisha usemi wako,sema mnanichosha, acha kabisa kutuunganisha huko.Ni mwaka wa ngapi sasa mshahara ni uleule,vitu bei imepaa kuanzia vyakula,usafiri,ada za watoto shule (Hakuna elimu ya bure) zimepanda,lakini mshahara ni uleule since 20...mpaka leo.Jamani waoneeni huruma hata wao wanafamilia,wamepangisha nyumba n.k.Lugha ya kebehi ya eti mnatushosha ife.Kama unachoshwa funga macho na masikio.
Wakati mnawaza hayo. Kuna watu tokea 2010 hawana kazi na wameshasahau hata walichosomea
 
Miradi ya uneme, Madaraja, flying over, na reli ya kisasa inaendelea Kama kawa. Nadhani hii ndo kipaumbele kwa Sasa, sizani Kama iyasemayo yatatukosesha usingizi.

Ushauri: Dedicate yourself in public service as per your enumeration.
 
Utumishi wa Leo ni wa kisenge,
Watu wanaambiwa usimhamishe mtumishi bila kumlipa ila majamaa bado yanahamisha tu na hayalipi, na wanakulazimisha uende kazini,

Sasa unajiuliza hawa jamaa ni wasenge kiasi gani,

Madaraja hawapandishi watumishi,

Ukiongea unaonekana weww ni mpinzani.

Huu ni ufala
We ni jinga aisee, sasa unaendelea na kazi ya nn wakati unanyanyasika?? Bora muendelee kuteswa tu hadi akili ziwakae sawa, pambaaf
 
Back
Top Bottom