Naingia chimbo hadi kesho asubuhi waliomuua Martha watajulikana kwasababu ya huu ushahidi mmoja tu

Stress Challenger

JF-Expert Member
Feb 24, 2022
1,778
4,284
Lazima tu kwa magari yote yaliyopaki ama yaliopo nje ya kanisa la Kilutheri Tumbi hapatakosekana yenye Dashcam.

Pia njiani kuelekea kwenye pori tengefu lazima hawa watekaji na wauaji walipishana na magari lazima kulikuwa na magari tu yenye Dashcam.

Polisi watoe wito wote wenye magari yenye Dashcam waliokuwepo maeneo ya Tumbi na kibaha saa na siku ya tukio wajitokeze wasaidie polisi kwa upelelezi kwa kutoa footage.

Pia Serikali ihimize wamiliki wote wa vyombo vya moto waweke hizi Dashcam kwenye vyombo vyao.

Kuna countless leads nazifuatiliana kuzifanyia kazi hapa chimbo ambazo it'll take painstaking effort kufikia tamati kuisaidia Polisi with some pieces of investigative information.

Dada yetu Martha Lazima apate haki haraka iwezekanavyo.

JF Amateur Investigator and detective


car-camera-260nw-527713312.jpg
 
Wakati umefika sasa kwa public places zote nchini yaani,shopping malls,schools, masjids, churches, hotels, restaurants, and all business places ziwe na mifumo ya cctv inayofanya kazi, na all municipalities waweke cctv kwenye mitaa yao, ni muhimu kutumia technology kupambana na crime, huwezi kuwalazimisha raia wenye magari waweke hizi cameras kwenye magari yao
 
Back
Top Bottom