Naikumbuka Chit Chat katika UBORA WAKE

Naikumbuka Chit Chat katika UBORA WAKE

Status
Not open for further replies.
mimi nilikua nikishaingia humu sitamani kwingine tena ia tangu waingie watoto wa fb sina hamu tena zaidi nakua msomajitu hapa kama nikiingia
 
Mhhh mtu chake vijana wa leo wanakuambia kila zama na kitabu chake na kwa sasa ndo hivyo tena kumejaa vijana wa leo leo humu na sisi inabidi tuende nao hivyo hivyo
Babu Asprin kama huwezi huu mchakamchaka rudi tuu uchaggani ukalime ndizi Preta arudi Mbulu huko akacheze ngoma za vigori Dark City arudi tanga huko akacheze na wajukuuu charminglady abaki na sangara wake mwanza huko mjini hakukufai mwallu akacheze ngoma za kisukuma huko mjini kuna mataa atagongwa Kibo10 aishie Goba mjini kuna flyover ukishangaa sana unatupwa Ntuzu, Tized, BATTO, Mndengereko, utafiti, Baba V Arushaone, Erickb52, watu8, Kaunga, Blaki Womani, Zion Daughter, ladyfurahia, Nicas Mtei, snowhite, SnowBall, HorsePower, gfsonwin (naona kazi ya kuwafundisha vijana maadili imekushindwa), sweetlady wote tuangalie mjini kuna vijana wanajua kuvaa mlegezo na viskin jeans sasa kama huwezi vaa hiyo mlegezo kama mwanaume na viskin jeans kama mwanamke wewe baki tuu kijijini ulime na kucheza na vitumbili mjini hakukufai tena
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom