Mhhh
mtu chake vijana wa leo wanakuambia kila zama na kitabu chake na kwa sasa ndo hivyo tena kumejaa vijana wa leo leo humu na sisi inabidi tuende nao hivyo hivyo
Babu
Asprin kama huwezi huu mchakamchaka rudi tuu uchaggani ukalime ndizi
Preta arudi Mbulu huko akacheze ngoma za vigori
Dark City arudi tanga huko akacheze na wajukuuu
charminglady abaki na sangara wake mwanza huko mjini hakukufai
mwallu akacheze ngoma za kisukuma huko mjini kuna mataa atagongwa
Kibo10 aishie Goba mjini kuna flyover ukishangaa sana unatupwa
Ntuzu,
Tized,
BATTO,
Mndengereko,
utafiti,
Baba V Arushaone,
Erickb52,
watu8,
Kaunga,
Blaki Womani,
Zion Daughter,
ladyfurahia,
Nicas Mtei,
snowhite,
SnowBall,
HorsePower,
gfsonwin (naona kazi ya kuwafundisha vijana maadili imekushindwa),
sweetlady wote tuangalie mjini kuna vijana wanajua kuvaa mlegezo na viskin jeans sasa kama huwezi vaa hiyo mlegezo kama mwanaume na viskin jeans kama mwanamke wewe baki tuu kijijini ulime na kucheza na vitumbili mjini hakukufai tena