Naichukia sana CCM, naombeni msaada wa kisaikolojia

Mwenzenu kila nikisikia neno CCM napata kichefuchefu. Nikiona mtu kavaa nguo za CCM huwa nahisi kutapika. Nikisikia mtu anaongea kwa kuonyesha kuipenda CCM huwa naziba masikio, kama nipo kwenye daladala huwa nashuka kituo kinachofuata hata kama kituo changu cha kushukia hakijafika ili nisiendelee kusikia neno CCM.

Kuna huyu mwana CCM anayetuambia tuhamie Burundi namchukia huyu mtu. Hivi hakuna dawa ya kumroga maisha yake yaharibike kabisa halafu yeye ndio ahamie Burundi? CCM naichukia halafu huyu anatuambia kwa dharau tuhamie Burundi utadhani Tanzania ni nyumbani kwakwe na sisi wengine katukaribisha kwakwe hivyo keshatuchoka anatufukuza.

Naombeni msaada wa kisaikolojia nadhani chuki niliyonayo dhidi ya CCM inaweza kunifanya nijinyonge ili nisiendelee kuisikia CCM au kukejeliwa na viongozi wa CCM, yaani nahisi bora nife kuliko kuishi nadharaulika kwenye nchi yangu.

Kule Bungeni nikifikiria wabunge wote ni wa CCM huwa nakaribia kupasuka kwa hasira. Kuiondoa CCM madarakani haiwezekani maana haiheshimu maoni yetu kwenye sanduku la kura kwa kusaidiwa na vyombo vya dola, CCM naichukia zaidi hata ya neno lenyewe. Kama hii chuki ni ugonjwa naombeni msaada kabla sijajipoteza mwenyewe badala ya kuipoteza CCM.

So mkuu ukiona bendera ya CHadema unapata na genye na hamu ya kula au. Mana Sijawahi Ona wala sikia. Siasa kabisa iniumize moyo na kuondoa Appetit yangu. Hasa Tz. Ambapo Amani ya msingi ipo.
 
Ccm imenikosea vingi mno. Matatizo yote yaliyopo nchi hii yameletwa na CCM. Moja wapo ya sababu ya kuichukia CCM ni kutengeneza watu wajinga kama wewe. Ona hapa unaongea upumbavu wa kusema fedha ya kuingia jamii forums ninayo ila ya kodi sina, wapi nimeandika hivyo?

Tukikupima kwa mada yako wewe ndo mpumbavu sana. Chama cha Siasa kinakutengeneza wewe. Unakariri au. Nyie ndo mlienda vyuoni mkasomea mitihani. Chuo sio shule ya msingi. Lazima ujiongeze na kujua unataka Nini. Wewe unaonekana hujui utakalo. Ushauri Wangu. Nenda kwa Mbowe. Kila atakachokuambia fanya. Usitumie kabisa akili yako. Sorry Kumbe huna.
 
Tukikupima kwa mada yako wewe ndo mpumbavu sana. Chama cha Siasa kinakutengeneza wewe. Unakariri au. Nyie ndo mlienda vyuoni mkasomea mitihani. Chuo sio shule ya msingi. Lazima ujiongeze na kujua unataka Nini. Wewe unaonekana hujui utakalo. Ushauri Wangu. Nenda kwa Mbowe. Kila atakachokuambia fanya. Usitumie kabisa akili yako. Sorry Kumbe huna.
Yaani wewe ndio mpumbavu wa kuonewa hadi huruma. Yaani hujui role ya chama tawala katika maisha ya raia? Please ficha ujinga wako.
 
So mkuu ukiona bendera ya CHadema unapata na genye na hamu ya kula au. Mana Sijawahi Ona wala sikia. Siasa kabisa iniumize moyo na kuondoa Appetit yangu. Hasa Tz. Ambapo Amani ya msingi ipo.
Hapa kuna amani ya uwoga tu? Nyie ndio maccm menyewe mnaotia kichefuchefu.
 
shida sio msaada ila unaendekeza sana siasa! kila kitu unakichukulia personal, Mtaji wa siasa na media ni uoga, wanapenda watu kma nyie ambao mkiepewa headlines zenye herufi kubwa sana mnapanic

Nikupe mfano:
View attachment 1861594
- Hutakaa uskie media inasema watu mil 175 wamepona corona ila hao Mil 4 watatengenezewa headlines mpaka ukome

-- Pia uchumi sio mbaya kama unavoaminishwa, hakuna sku kutakua hakuna mzunguko wa ela kwa sababu wanaochapisha pesa ndo hao hao wanachukua kodi, hii ni mifano michache ila usiendekeze siasa sana na media shirikisha akili pia, hata hao unaowaona nafuu wakina mbowe wote ni ccm, wakina lissu wote! Nani alisifiwa chadema kama halima mdee? yupo wap saaahv?

- kuna wengine hawa apa
View attachment 1861599

Ushauri wangu kwako ni
1) Fanya kazi, jali zaidi uzao wako pamoja na familia yako
2) Hakikisha unaweka mazingira mazuri kwa watoto wako, kama ni shule kama ni ubunifu wajengee uwezo wa kipekee
3) Kama una watoto unatoa wap mda wa siasa?
5) Umiza kichwa katika mambo yenye manufaa mfano kujaribu biashara tafauti, kushirikiana na watu katika miradi na mawazo mapya
6) Epuka wimbi la motisha kwenye siasa haswa wanaotumia jina la vijana
7) Hakikisha akaunti yako pia imenona hayo mengine ni yale yale kutengeneza tataizo alafu kulitatua mwenyewe
Asipokuelewa kwa bandiko Hili mujarabu na thabiti Hana msaada tena
 
Asipokuelewa kwa bandiko Hili mujarabu na thabiti Hana msaada tena

hawa madogo tatizo bangi zinawaendesha, na huyu asiposaidiwa mapema sku sio nyingi atajitolea kufa kwa ajili yao! yaaani ni swala la mda tu na hizo bangi zao
 
Sawa nyie si mna maguvuuu endeleni na matendo yenu maovu.
Mungu husimama upande wa. HAKI!.

1626878231396.png

unamaanisha hawa apa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom