Naichukia sana CCM, naombeni msaada wa kisaikolojia

shida sio msaada ila unaendekeza sana siasa! kila kitu unakichukulia personal, Mtaji wa siasa na media ni uoga, wanapenda watu kma nyie ambao mkiepewa headlines zenye herufi kubwa sana mnapanic

Nikupe mfano:
View attachment 1861594
- Hutakaa uskie media inasema watu mil 175 wamepona corona ila hao Mil 4 watatengenezewa headlines mpaka ukome

-- Pia uchumi sio mbaya kama unavoaminishwa, hakuna sku kutakua hakuna mzunguko wa ela kwa sababu wanaochapisha pesa ndo hao hao wanachukua kodi, hii ni mifano michache ila usiendekeze siasa sana na media shirikisha akili pia, hata hao unaowaona nafuu wakina mbowe wote ni ccm, wakina lissu wote! Nani alisifiwa chadema kama halima mdee? yupo wap saaahv?

- kuna wengine hawa apa
View attachment 1861599

Ushauri wangu kwako ni
1) Fanya kazi, jali zaidi uzao wako pamoja na familia yako
2) Hakikisha unaweka mazingira mazuri kwa watoto wako, kama ni shule kama ni ubunifu wajengee uwezo wa kipekee
3) Kama una watoto unatoa wap mda wa siasa?
5) Umiza kichwa katika mambo yenye manufaa mfano kujaribu biashara tafauti, kushirikiana na watu katika miradi na mawazo mapya
6) Epuka wimbi la motisha kwenye siasa haswa wanaotumia jina la vijana
7) Hakikisha akaunti yako pia imenona hayo mengine ni yale yale kutengeneza tataizo alafu kulitatua mwenyewe
Washauri wenzako huko chamani watende haki. Basi.
 
Mwenzenu kila nikisikia neno CCM napata kichefuchefu. Nikiona mtu kavaa nguo za CCM huwa nahisi kutapika. Nikisikia mtu anaongea kwa kuonyesha kuipenda CCM huwa naziba masikio, kama nipo kwenye daladala huwa nashuka kituo kinachofuata hata kama kituo changu cha kushukia hakijafika ili nisiendelee kusikia neno CCM.

Kuna huyu mwana CCM anayetuambia tuhamie Burundi namchukia huyu mtu. Hivi hakuna dawa ya kumroga maisha yake yaharibike kabisa halafu yeye ndio ahamie Burundi? CCM naichukia halafu huyu anatuambia kwa dharau tuhamie Burundi utadhani Tanzania ni nyumbani kwakwe na sisi wengine katukaribisha kwakwe hivyo keshatuchoka anatufukuza.

Naombeni msaada wa kisaikolojia nadhani chuki niliyonayo dhidi ya CCM inaweza kunifanya nijinyonge ili nisiendelee kuisikia CCM au kukejeliwa na viongozi wa CCM, yaani nahisi bora nife kuliko kuishi nadharaulika kwenye nchi yangu.

Kule Bungeni nikifikiria wabunge wote ni wa CCM huwa nakaribia kupasuka kwa hasira. Kuiondoa CCM madarakani haiwezekani maana haiheshimu maoni yetu kwenye sanduku la kura kwa kusaidiwa na vyombo vya dola, CCM naichukia zaidi hata ya neno lenyewe. Kama hii chuki ni ugonjwa naombeni msaada kabla sijajipoteza mwenyewe badala ya kuipoteza CCM.
CCM ni chukizo mbele za MUNGU
 
Nipitie hapa Kahama tukajinyonge.Yaani mimi niwakuambiwa nikaishi Burundi kweli?
 
Tatiza wengi wasukuma wanashindwa kukubali Mwendazake amekufa! Na bado wanaishi kwenye fikra zake. Wamehamisha chuki zao kwa Madame Rais. Mwanza wengi wanakufa kwa Corona, hawataki kuamini kuwa ipo.
 
You got it all wrong. Soma posts zangu tokea kuumbwa kwa mbingu na ardhi utanielewa.
 
Mwenzenu kila nikisikia neno CCM napata kichefuchefu. Nikiona mtu kavaa nguo za CCM huwa nahisi kutapika. Nikisikia mtu anaongea kwa kuonyesha kuipenda CCM huwa naziba masikio, kama nipo kwenye daladala huwa nashuka kituo kinachofuata hata kama kituo changu cha kushukia hakijafika ili nisiendelee kusikia neno CCM.

Kuna huyu mwana CCM anayetuambia tuhamie Burundi namchukia huyu mtu. Hivi hakuna dawa ya kumroga maisha yake yaharibike kabisa halafu yeye ndio ahamie Burundi? CCM naichukia halafu huyu anatuambia kwa dharau tuhamie Burundi utadhani Tanzania ni nyumbani kwakwe na sisi wengine katukaribisha kwakwe hivyo keshatuchoka anatufukuza.

Naombeni msaada wa kisaikolojia nadhani chuki niliyonayo dhidi ya CCM inaweza kunifanya nijinyonge ili nisiendelee kuisikia CCM au kukejeliwa na viongozi wa CCM, yaani nahisi bora nife kuliko kuishi nadharaulika kwenye nchi yangu.

Kule Bungeni nikifikiria wabunge wote ni wa CCM huwa nakaribia kupasuka kwa hasira. Kuiondoa CCM madarakani haiwezekani maana haiheshimu maoni yetu kwenye sanduku la kura kwa kusaidiwa na vyombo vya dola, CCM naichukia zaidi hata ya neno lenyewe. Kama hii chuki ni ugonjwa naombeni msaada kabla sijajipoteza mwenyewe badala ya kuipoteza CCM.
Nadhani hunikuti mimi! Imagine mpaka leo hii nimeishia tu kufanya kazi ya kipuuzi, huku nikiwa na akili nyingi tu kichwani!!

Kisa nilishindwa kabisa hata kujilazimisha tu kuwa mnafiki, ili nipate kazi nzuri kwa mgongo wa ccm! Yaani ndani ya ccm, nilimkubali Nyerere tu, hasa kwa ule uzalendo wake!

The rest, ni majanga tu.
 
shida sio msaada ila unaendekeza sana siasa! kila kitu unakichukulia personal, Mtaji wa siasa na media ni uoga, wanapenda watu kma nyie ambao mkiepewa headlines zenye herufi kubwa sana mnapanic

Nikupe mfano:
View attachment 1861594
- Hutakaa uskie media inasema watu mil 175 wamepona corona ila hao Mil 4 watatengenezewa headlines mpaka ukome

-- Pia uchumi sio mbaya kama unavoaminishwa, hakuna sku kutakua hakuna mzunguko wa ela kwa sababu wanaochapisha pesa ndo hao hao wanachukua kodi, hii ni mifano michache ila usiendekeze siasa sana na media shirikisha akili pia, hata hao unaowaona nafuu wakina mbowe wote ni ccm, wakina lissu wote! Nani alisifiwa chadema kama halima mdee? yupo wap saaahv?

- kuna wengine hawa apa
View attachment 1861599

Ushauri wangu kwako ni
1) Fanya kazi, jali zaidi uzao wako pamoja na familia yako
2) Hakikisha unaweka mazingira mazuri kwa watoto wako, kama ni shule kama ni ubunifu wajengee uwezo wa kipekee
3) Kama una watoto unatoa wap mda wa siasa?
5) Umiza kichwa katika mambo yenye manufaa mfano kujaribu biashara tafauti, kushirikiana na watu katika miradi na mawazo mapya
6) Epuka wimbi la motisha kwenye siasa haswa wanaotumia jina la vijana
7) Hakikisha akaunti yako pia imenona hayo mengine ni yale yale kutengeneza tataizo alafu kulitatua mwenyewe
Kumbe kufanya siasa mpaka uwe hauna watoto? Kumbe wale wote wanaofanya saisa hawana watoto?

Wewe ni mpumbavu
 
kama huna watoto acha kula viepe umri ushaenda mbuzi wewe! huo ushauri haukuhusu kwa sababu haujauomba we endelea na siasa zako huenda ukaanza kulipwa kwa kuongea siasa, kaza nyoro utafika!
 
Mwenzenu kila nikisikia neno CCM napata kichefuchefu. Nikiona mtu kavaa nguo za CCM huwa nahisi kutapika. Nikisikia mtu anaongea kwa kuonyesha kuipenda CCM huwa naziba masikio, kama nipo kwenye daladala huwa nashuka kituo kinachofuata hata kama kituo changu cha kushukia hakijafika ili nisiendelee kusikia neno CCM.

Kuna huyu mwana CCM anayetuambia tuhamie Burundi namchukia huyu mtu. Hivi hakuna dawa ya kumroga maisha yake yaharibike kabisa halafu yeye ndio ahamie Burundi? CCM naichukia halafu huyu anatuambia kwa dharau tuhamie Burundi utadhani Tanzania ni nyumbani kwakwe na sisi wengine katukaribisha kwakwe hivyo keshatuchoka anatufukuza.

Naombeni msaada wa kisaikolojia nadhani chuki niliyonayo dhidi ya CCM inaweza kunifanya nijinyonge ili nisiendelee kuisikia CCM au kukejeliwa na viongozi wa CCM, yaani nahisi bora nife kuliko kuishi nadharaulika kwenye nchi yangu.

Kule Bungeni nikifikiria wabunge wote ni wa CCM huwa nakaribia kupasuka kwa hasira. Kuiondoa CCM madarakani haiwezekani maana haiheshimu maoni yetu kwenye sanduku la kura kwa kusaidiwa na vyombo vya dola, CCM naichukia zaidi hata ya neno lenyewe. Kama hii chuki ni ugonjwa naombeni msaada kabla sijajipoteza mwenyewe badala ya kuipoteza CCM.
Rahisi sana chukua sumu ya panya koroga kwenye maji then unywe
 
Nimesoma andiko lako loooote lakini hunizidi Mimi kwa kukichukia hiki chama.
 
shida sio msaada ila unaendekeza sana siasa! kila kitu unakichukulia personal, Mtaji wa siasa na media ni uoga, wanapenda watu kma nyie ambao mkiepewa headlines zenye herufi kubwa sana mnapanic

Nikupe mfano:
View attachment 1861594
- Hutakaa uskie media inasema watu mil 175 wamepona corona ila hao Mil 4 watatengenezewa headlines mpaka ukome

-- Pia uchumi sio mbaya kama unavoaminishwa, hakuna sku kutakua hakuna mzunguko wa ela kwa sababu wanaochapisha pesa ndo hao hao wanachukua kodi, hii ni mifano michache ila usiendekeze siasa sana na media shirikisha akili pia, hata hao unaowaona nafuu wakina mbowe wote ni ccm, wakina lissu wote! Nani alisifiwa chadema kama halima mdee? yupo wap saaahv?

- kuna wengine hawa apa
View attachment 1861599

Ushauri wangu kwako ni
1) Fanya kazi, jali zaidi uzao wako pamoja na familia yako
2) Hakikisha unaweka mazingira mazuri kwa watoto wako, kama ni shule kama ni ubunifu wajengee uwezo wa kipekee
3) Kama una watoto unatoa wap mda wa siasa?
5) Umiza kichwa katika mambo yenye manufaa mfano kujaribu biashara tafauti, kushirikiana na watu katika miradi na mawazo mapya
6) Epuka wimbi la motisha kwenye siasa haswa wanaotumia jina la vijana
7) Hakikisha akaunti yako pia imenona hayo mengine ni yale yale kutengeneza tataizo alafu kulitatua mwenyewe
Yaani wewe hauna pointi kabisa
 
Mwenzenu kila nikisikia neno CCM napata kichefuchefu. Nikiona mtu kavaa nguo za CCM huwa nahisi kutapika. Nikisikia mtu anaongea kwa kuonyesha kuipenda CCM huwa naziba masikio, kama nipo kwenye daladala huwa nashuka kituo kinachofuata hata kama kituo changu cha kushukia hakijafika ili nisiendelee kusikia neno CCM.

Kuna huyu mwana CCM anayetuambia tuhamie Burundi namchukia huyu mtu. Hivi hakuna dawa ya kumroga maisha yake yaharibike kabisa halafu yeye ndio ahamie Burundi? CCM naichukia halafu huyu anatuambia kwa dharau tuhamie Burundi utadhani Tanzania ni nyumbani kwakwe na sisi wengine katukaribisha kwakwe hivyo keshatuchoka anatufukuza.

Naombeni msaada wa kisaikolojia nadhani chuki niliyonayo dhidi ya CCM inaweza kunifanya nijinyonge ili nisiendelee kuisikia CCM au kukejeliwa na viongozi wa CCM, yaani nahisi bora nife kuliko kuishi nadharaulika kwenye nchi yangu.

Kule Bungeni nikifikiria wabunge wote ni wa CCM huwa nakaribia kupasuka kwa hasira. Kuiondoa CCM madarakani haiwezekani maana haiheshimu maoni yetu kwenye sanduku la kura kwa kusaidiwa na vyombo vya dola, CCM naichukia zaidi hata ya neno lenyewe. Kama hii chuki ni ugonjwa naombeni msaada kabla sijajipoteza mwenyewe badala ya kuipoteza CCM.
Siyo wewe tu; nami pia "and a substantial percentage of Tanzanians".
 
Acha ujinga wa kujiamnisha furaha yako inatunzwa na maccm...furaha yako unayo mwenyewe....wapuuze ccm halafu uone kama haujawa na furaha....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom