Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,446
Back to ze topic, hebu mshauri dada Condoliza maana Jamaa kupendwa kwakwe anaouna dili kumuumiza dada wa watu!
Mama Clea tumesha mwambia awe 50/50 anapenda asipo pendeka
Back to ze topic, hebu mshauri dada Condoliza maana Jamaa kupendwa kwakwe anaouna dili kumuumiza dada wa watu!
Kupunguza ni kutafuta sehemu ya kuyaelekeza......
Unatafuta mtu mwenye extra kuzidi ya mumeo...game over....lol
Kupunguza ni kutafuta sehemu ya kuyaelekeza......
Unatafuta mtu mwenye extra kuzidi ya mumeo...game over....lol
wapo wababa wameoa 'wanawake full mcharuko'
lakini husikii wakilalamika sana...
Thanx The Boss sina maana ya kwamba natafuta nyumba ndogo..Ni je nipunge vip haya mapenzi kutoka 75 to 50% nateseka mie
Nahangaika ndani ya nyumba kama mama ,nampenda mme wangu,namuheshimu lakini yote anaona ni kazi bure..
nataka ibaki 50% ili hata kama akinifanyia visa nisiumie sana .
Kesha sali sana na kufunga sana kesha ombewa sana mambo magumu.
Atafute plan B aweze kupooza mtima wake angalizo (mm mwenyewe nipo tayari kumpa faraja mama Clea)
asante Kibukuasili ..naomba na kufunga kwa imaniPole sana. Omba Mungu atakusaidia. Na inabidi uombe sana. Mungu sio sukari inayokolea mara moja, lakini atasikiliza kilio chako na kumbadilisha.
Epuka na tamaa ya "kulipiza kisasi" au kitu cha namna hiyo
Ni jana tu nimemwambia maneno haya akatazama pembeni bila kutoa neno lolotesiku moja kaa naye,mwangalie machoni mtamkie 'nakupenda sana darling' ......hakikisha naye anakuangalia machoni
Nitafute kwa ushauri zaidi - hii inahitaji faragha kuweza kuchukua 25% ya mapenzi kutoka kwa mtu!
Ana miaka 34Kaka,nadhani ule uzi wa bishanga unahusika vile,lol!
Seriously mtoa mada, una miaka 29 ya umri na unasema mumeo hakui! Kwani ana umri gani?
Unajua dada yangu tatizo ulilo nalo wewe ndilo nililo nalo na mimi kwa mke wangu, Nadhani nikutafute tubadilishane uzoefu na tuangalie the way forward plz ni-PM tu-arrange.
Kweli wanawake mnadeka sana kama mtoto mchanga
Usipo bembelezwa ndo murder case ooh mm hubby hanipendi
Kama ni kweli anayoyasema huyu mama naona yeye ndiye mwenye tatizo maana anatafuta jinsi ya kupunguza penzi na si jinsi ya kuokoa.Nashauri yeyote anayemshauri azingatie hilo.
Fidel80 acha kumsemea bana!,
hata ivyo Muumba hana mwanzo wala mwisho, usitegemee ukiomba leo akujibu leo
We naye, mtoto mchanga hadeki, wanaodeka ni wale watoto wakubwa kubwa kidogo 2yrs na kuendelea. Ukiona mwanamke anadeka kwa mumewe, ujue anapendwa hapo upendo upo. Na shida yetu ni kupendwa ili tudeke...Hivi unaweza kumdekea mtu ambaye hakupendi si atakutoa baru jamani..Tudekezeni jamani
Mi namchukia sana mwanamke anae nidekea, maana najua ni wizi mtupu
Lakini we Fidel vipi lakini, mi unaniudhi..
Thanks for noting that...............hapo ndio huwa sipaelewi nafikiri kuna siri katikati ya hilo!
JF nimeolewa miaka nane iliyopita nikiwa na 21 years old,nimekaa na mme wangu katika ups and down za ndoa ..
Ila mme wangu naona ana mambo mengi ya ujana,dharau na kutojari familia , hakui najaribu kumwelewesha misingi ya ndoa na kumwelewesha pale anapoenda kinyume
lakini inakuwa kazi bure.
Kinachoniuma nadhani nampenda sana mme wangu akinikosea ninaumia hata week nzima siwezi kula ,kulala Napata shida wakati yeye
Anakuwa normal na hana hata muda wa kuomba msamaha.
Nahisi haya mapenzi niliyonayo kwa mme wangu yananiua ama kunipeleka vibaya.
Mtaalam mmoja aliniambia Tatizo langu nina 75% ya penzi kwa mme ,nijaribu kuweka 50/50%
Najitahidi kufanya hivo na ku-ignore yote anayoyafanya ,,mwisho wa siku nashindwa najikuta naendelea kuumia zaidi na kunyong'onyea .
Ni mengi anayonikosea.
JF ninawezaje kupunguza haya mapenzi ili niishi kwa Amani?
Nisaidie nakufa siku si zangu..nifundisheni nilipunguze vip hili penzi kwa baba chanja nisiumie
Mama Clea
Plan B gani Fidel80?Ndo maana nakwambia Plan A inakufanya uteseka sasa kwa mpango mzima tafuta plan B itakushusha mpaka kwenye 50%
Wanawake kulalamika ni 'hulka'
hata akipata a 'perfect hubby'
kulalamika hakuishi....
Watu wanakufa wakiomba miaka nenda rudi na Mungu hawasikilizi kabisaaa hawa tusemeje?