naibu waziri wa afya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mjanja M1

    Naibu waziri wa Afya: Tuhamasishe matumizi ya P2

    Akijibu swali la Mbunge Thea Ntara ambae aliuliza, "Hili suala sasa hivi linatisha, mabinti wanatumia hizo P2 kama unavyotumia panadol yaani hakuna utaratibu, tutafika wakati mabinti hawa hawataweza kupata watoto, je serikali ina mpango gani wa kutoa elimu kwa hao mabinti ili wajue matumizi ya...
  2. R

    Naibu Waziri wa Afya: Nikiona PDF ya Zuhura haipo kwenye Instagram ya Ikulu nakuwa na 'confidence'. Mh. Rais nakushukuru sana kwa mimi kunusurika!

    nyingi Mh. Rais nikiona dereva amechelewa, naenda kwanza kwenye Instagram ya Ikulu, nikiona PDF ya Zuhura haipo basi nakuwa na confidence, namuita dereva. Lakini siku hiyo nikajisahu, nikawa nimeacha Instagram emoj ipo juu, nikaona kama kitu kimepita pale nikaogopa kuangalia nikawa naangalia...
  3. BigTall

    Wakandarasi Wamgomea Naibu Waziri wa Afya

    Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amewaagiza Wakandarasi kutoka kampuni ya Luba, MUST na Ardhi ambao waligomea wito wake wa kufika katika eneo la mradi wa ujenzi wa hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida kufika kwa Mkuu wa Mkoa huo ili kujieleza kwanini mradi huo haumaliziki ndani ya...
  4. Lady Whistledown

    Naibu Waziri wa Afya amuondolea madaraka Mkuu wa Idara Paul Koroso, aliyemjibu “Sijali lolote hata nikifukuzwa kazi”

    Naibu Waziri wa Afya, Godwin Mollel ameagiza kuondolewa madarakani kwa Mkuu wa Idara ya Ujenzi wa wizara hiyo, Paul Koroso kutokana na mgogoro ulioibuka katika mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Ukerewe unaotekelezwa kwa gharama ya zaidi ya Sh2.9 bilioni. Dk Mollel pia ameagiza Koroso...
  5. JanguKamaJangu

    Waziri: Wanaume tunzeni vizuri wenza wenu wenye ujauzito ili watoto wawe na IQ kubwa

    Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amewataka Wanaume kutunza ujauzito wa wenza wao ili watoto wanaozaliwa wawe salama kiafya na wenye akili ya uwezo wa juu na ufanisi (IQ). “Kila baba anapenda kujisifia mtoto wake ambaye anafaulu vizuri shuleni, lakini kufaulu vizuri kwa mtoto shuleni...
  6. Wizara ya Afya Tanzania

    Maelekezo ya Naibu Waziri wa Afya kwa watendaji alipotembelea mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Wilaya ya Songwe

    Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amewataka watendaji wanaosimamia ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Songwe kufanya kazi kwa weledi na kuzingatia taratibu za mawasiliano zilizopo serikalini Amewataka watendaji hao kutoa taarifa za maendeleo ya ujenzi wa mradi huo katika mamlaka...
  7. Wizara ya Afya Tanzania

    Naibu Waziri Wa Afya ameupongeza uongozi wa Wilaya ya Ileje Mkoa wa Songwe kwa kusimamia vyema fedha za ujenzi wa hospitali ya wilaya

    Naibu Waziri Wa Afya, Maendeleo Ya Jamii, Jinsia, Wazee Na Watoto Dkt. Godwin Mollel ameupongeza uongozi wa Wilaya ya Ileje Mkoa wa Songwe kwa kusimamia vyema fedha za ujenzi wa hospitali ya wilaya kwa kujenga majengo ambayo thamani ya fedha inaonekana. Dkt Mollel amesema hayo alipokwenda...
Back
Top Bottom