Maelezo mazuri, shida ipo kwenye utekelezaji. Ukimlazimisha mtu avae huku Hana uwezo wa kuinua, ataokota hata ya kwenye jalala. Ataitumia moja siku zote mpaka ichujuke. Uchumi wa wananchi ni duni. Wanapenda kuishi, wanajua manufaa ya barakoa, lakini gharama inawashinda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app