Naibu Spika kuwa na adabu kidogo

Naibu Spika kuwa na adabu kidogo

Nakiri Wewe Ni Mwana CCM Mwenzangu Tena ULIYETUKUKA Tu Na NAKUKUBALI Kiutendaji Kutokana Na Sifa Zako Za KIUELEDI Ulizonazo Ila Nimekuwa Nikikufuatilia Kwa Jicho Langu La Tatu La ( TAI ) Hasa Siku Ambazo Umekuwa Ukishikilia Hicho Kiti Na Nimegundua Mambo Kadhaa Ambayo Najiuliza Je Huwa Unafanya MAKUSUDI Tu au Labda Hujakaa Sana Na WAZEE Ujifunze Jinsi Ya Kuishi Nao?

Sababu Iliyonipelekea Kuandika UZI Huu Ni Kitendo Chako Ambacho KINAJIRUDIA Kila Kukicha Cha KUTOWAHESHIMU Wabunge Hasa WAZEE Kiumri Na Ambao Nina UHAKIKA Kuwa Wengi Wao Wana Watoto MANJEMBA ( Wakubwa ) Kuliko Hata UMRI Wako. Muda Si Mrefu Tu Umetoka KUMFOKEA Mama Yetu Mama Magreth Sitta Wakati Akiwa ANACHANGIA Na Binafsi Nimejisikia Vibaya Mno.

Rai Yangu Kwako Dada Yangu NAIBU SPIKA WA BUNGE Hebu Jaribu Basi KUWAPA KIDOGO UPENDELEO MAALUM Hao WABUNGE WOTE WENYE UMRI MKUBWA WA CCM Na Wa UKAWA Na Tambua Kuwa Hata Kwa UMRI Walionao Kidogo Huchukua Muda Mrefu KUELEZA au KUJENGA Hoja Hivyo Na Wewe WACHUKULIE Tu Hivyo Hivyo.

Naogopa Kuna Siku Atasimama Mbunge Mwenye UZEE Kama Wa Mama Sitta Halafu Unaweza Hata UKAMSONYA Kwa KUPOTEZA Muda Wakati ANAJENGA Hoja Zake. Jaribu KUWAONYESHA Kuwa UNAWAJALI Na KUWAHESHIMU Kwani Nina Amini Hao WANAWEZA Kuja Kuwa Msaada Mkubwa Mno Kwako KIUTENDAJI.

Mwisho Naomba Kukuuliza Je Hiyo Sauti Yako Ni Ndivyo Ilivyo Tu au Una MAFUA au Umeishi Sana Kwa WAKOLONI Na MABEPARI?
Mmh anaremba maneno kama akina anti Ezekiel
 
Hahahaaa wakati anatoa hilo povu alikuwa na mahaba mazito na chama sasa amesahau kuwa na huyo ni mwenzie leo hii anamkosoa.
 
Unayejiita unamfundisha Naibu Spika kuongea kwa heshima hasa kwa wazee, huko nyuma wewe umeandika haya:

Wengi huku Jamii forum tunaosoma mabandiko na michango ya Gentamycine na wengi wanaomfanana mbali ya usaka tonge wao Lumumba lakini pia hawana sifa, uadilifu, busara wala hekima ya kuweza kumkemea yeyote. Ingawa nami nakemea maadili ya huyu naibu spika wetu haswa linapojitokeza linalohusu upande wa upinzani na hata kwa wabunge wengine walio kwenye chama chake. Unafahamu pamoja na kuwa na sifa za makaratasi (vyeti) ni pamoja na heshima kwa wote unaowaongoza,busara na hekima(vipawa) Ukishakuwa na sifa hizi haswa hizi za mwisho zitakuongoza kuwa mnyenyekevu, mwenye heshima na utapendwa na kusaidiwa na wote. Wapo hata maraisi walioongoza nchi zao wakiwa na elimu ya msingi tu na wengine hawakuwa na elimu kabisa na wakaongoza mataifa yao vizuri kuliko wenye p.h.d.zao. Kwa ujumla nasema uongozi ni dhamana tu haina maana unajua kuliko unaowaongoza. Ni vizuri basi wenzetu tuliowapa hizo dhamana wakatambua baada ya uongozi wao watakuja uraiani na kuhitaji misaada ya hao hao waliokua wakiwabeza na kuwakemea ilhali hata kwa elimu wana elimu bora kuliko zao achilia mbali umri na uelewa mpana wa masuala ya taifa hili.
 
hiyo kweli niliona ila huyu motto hana adabu kabisa ila atakutana na vichaa atatia adabu!
 
Ni wa kupuuzwa ata mtaani kwake majirani walishampuuza kitambo sana kwa tabia zake,kajisahau kuwa yupo pale kutenda haki na si vinginevyo.
 
Bora mama makinda alikuwa comedian tu akipandwa na jaziba ..lol
Nimemsi sana bibi yetu mkimuona msalimieni mwambie bora yeye Mara mia kuliko hizi tabu alizoziacha mjengoni hasahasa kale kabinti
 
Hata Kama Ni Wa Chama Tawala Ila Naona Kama Vile HAWAHESHIMU Wabunge Saa 12 Jioni ( Wazee ) Mule Hasa Kwa Jinsi Anavyowajibu au Kuwaongelesha. Sidhani Kama MAADILI Ya Kitanzania Anayo Hasa UKIZINGATIA Tokea Chekechea, Shule Ya Msingi, Ya Upili Na Hadi Chuo Kikuu Kasomea MAMTONI Hivyo Hana Habari Na Akina Siye Tuliosomea Shule Zetu Hizi Za SIAMINI KICHEKO.
Mkuu mimi binafsi simpendi huyo binti mungu anisamehe ingawa hajawahi kunikosea ila ile tabia yake ya dharau inaninera, sijui chama tawala walimuweka hapo kwa makusudi gani, maana nguvu ya kumuweka hapo ilitumika nguvu kubwa ajabu
 
Nakiri Wewe Ni Mwana CCM Mwenzangu Tena ULIYETUKUKA Tu Na NAKUKUBALI Kiutendaji Kutokana Na Sifa Zako Za KIUELEDI Ulizonazo Ila Nimekuwa Nikikufuatilia Kwa Jicho Langu La Tatu La ( TAI ) Hasa Siku Ambazo Umekuwa Ukishikilia Hicho Kiti Na Nimegundua Mambo Kadhaa Ambayo Najiuliza Je Huwa Unafanya MAKUSUDI Tu au Labda Hujakaa Sana Na WAZEE Ujifunze Jinsi Ya Kuishi Nao?

Sababu Iliyonipelekea Kuandika UZI Huu Ni Kitendo Chako Ambacho KINAJIRUDIA Kila Kukicha Cha KUTOWAHESHIMU Wabunge Hasa WAZEE Kiumri Na Ambao Nina UHAKIKA Kuwa Wengi Wao Wana Watoto MANJEMBA ( Wakubwa ) Kuliko Hata UMRI Wako. Muda Si Mrefu Tu Umetoka KUMFOKEA Mama Yetu Mama Magreth Sitta Wakati Akiwa ANACHANGIA Na Binafsi Nimejisikia Vibaya Mno.

Rai Yangu Kwako Dada Yangu NAIBU SPIKA WA BUNGE Hebu Jaribu Basi KUWAPA KIDOGO UPENDELEO MAALUM Hao WABUNGE WOTE WENYE UMRI MKUBWA WA CCM Na Wa UKAWA Na Tambua Kuwa Hata Kwa UMRI Walionao Kidogo Huchukua Muda Mrefu KUELEZA au KUJENGA Hoja Hivyo Na Wewe WACHUKULIE Tu Hivyo Hivyo.

Naogopa Kuna Siku Atasimama Mbunge Mwenye UZEE Kama Wa Mama Sitta Halafu Unaweza Hata UKAMSONYA Kwa KUPOTEZA Muda Wakati ANAJENGA Hoja Zake. Jaribu KUWAONYESHA Kuwa UNAWAJALI Na KUWAHESHIMU Kwani Nina Amini Hao WANAWEZA Kuja Kuwa Msaada Mkubwa Mno Kwako KIUTENDAJI.

Mwisho Naomba Kukuuliza Je Hiyo Sauti Yako Ni Ndivyo Ilivyo Tu au Una MAFUA au Umeishi Sana Kwa WAKOLONI Na MABEPARI?
Asee mkuu nazan leo ndo kwa mara ya kwanza nakuunga mkono umeongea kweli kabisa ila najua muda utaongea na ataelewa ila kwa sasa amepanic na amepania na pia akina musukuma kasheku hawajaanza kumsalandia atabadilika tu, vipi leo ntapita kichochoro cha DSTV kula bia je utakwepo
 
Niliwai kusema tulia huyu ni tatizo, mimi namchukia tu automatic kwanza anajisikia anaongea kama kazaliwa ulaya, pili anataka kutumia elimu yake kama fimbo ila najua siku inakuja watakapomuudhi kwa makusudi ili kumdhalilisha.
Nawakumbuka Kafulila na Mkosamali.
 
licha ya kuupenda mwandiko wako niseme tu kwamba inabidi Naibu spika atumie nguvu kubwa kukubalika uoande wa pili na hicho ndicho alichofanya leo na hiyo ni dalili ya mtu asiyetosha maana atakua na full of maigizo kuliko uhalisia
Mbilingembilinge zilizotumika kumuweka pale lilikua ni darasa la namna ya kuwachukia wabunge hasa wa upinzani. Ukimuangalia kwa makini huwa anaanza kukunja uso pale asikiapo mchango wa mbunge unalenga kuikosoa serikali.
Tulia ni government project, ni wabunge wenyewe kwa kuendekeza ushabiki maandazi ndiyo walimuweka pale. Acha awadharau tu, maana kwa nguvu za bunge kikatiba na kimajukumu ameshangaa kuona hawajitambui kwa kiasi kile.
 
Mara ya1 mliponda makindaa bunge litamshinda sasa hv anasifiwa loo. Na huyo naye mta mzoea tuu mwachen afanye kazi yake kwa uhuru hawez muacha mtu aongee masaa mia na wakati wanaenda na muda. Kuhusu hiyo tone ndivyo alivyo na ugeni wa bungen kukalia kiti unachangia. Atazoea tuu na mtamzoea kama mlivyomzoea makinda
 
Asee mkuu nazan leo ndo kwa mara ya kwanza nakuunga mkono umeongea kweli kabisa ila najua muda utaongea na ataelewa ila kwa sasa amepanic na amepania na pia akina musukuma kasheku hawajaanza kumsalandia atabadilika tu, vipi leo ntapita kichochoro cha DSTV kula bia je utakwepo

Nipo IOWA Nchini Marekani Kwa Sasa Mkuu. Najiandaa Sasa Kwenda Kula Zangu Mapiza Na Mahambaga Kisha Kumsalimu Ted Cruz. Na Wewe Kumbe Ni Mdau Wa " Eagle Wing House? " Manake Wote Wanaokunywa Hapo 99.999% Ni Wenyewe Wana Eagle Wing House Employees. Huwaogopi? Nisalimie Huko Tanzania Kwenu Na Sijui Nitarudi Lini. Vipi Wakuu Wa Mikoa Na Wilaya Magu Keshafanya Yake au Bado? Karibu Sana Marekani Mkuu!
 
Katika makabila yaliyo na adhabu na utii hapa bongo kwa watoto wa kike ni wanyakyusa tena mheshimiwa kalelewa kule kule migombani.
 
Unayejiita unamfundisha Naibu Spika kuongea kwa heshima hasa kwa wazee, huko nyuma wewe umeandika haya:

Ngoja Nitarudi Mnamo Saa 4 Na Dakika 45 au Saa 5 Kamili Ambapo Nitakujibu Wewe Na POPOMA Mwenzio Hapo Juu Majibu Mazuri Tu YALIYOTUKUKA. Wewe Ulikuwa Hujui Kuwa Ule Ulikuwa Ni Wakati Wa KAMPENI? Ngoja Nikachangamshe Kichwa Na Nitarudi. au Mmetumwa Kwangu?
 
Migambo wanaruka na kukanyagana!na bado
 
akikua ( akipata uzoefu ) ataacha apewe mda hawezi kufananishwa na mama makinda au ndugai ambao wamesha zoea kashkash ya wabunge la msingi azingatie hekima. hata mfalme sulemani alivyo pewa jukumu la kuwa kiongozi akaulizwa na MUNGU apewe nini akaomba apewe hekima. kuwa kiongozi ni kazi lazima ajue ni wakati gani ajishushe ni wakati gani ajipandishe.
 
Nakiri Wewe Ni Mwana CCM Mwenzangu Tena ULIYETUKUKA Tu Na NAKUKUBALI Kiutendaji Kutokana Na Sifa Zako Za KIUELEDI Ulizonazo Ila Nimekuwa Nikikufuatilia Kwa Jicho Langu La Tatu La ( TAI ) Hasa Siku Ambazo Umekuwa Ukishikilia Hicho Kiti Na Nimegundua Mambo Kadhaa Ambayo Najiuliza Je Huwa Unafanya MAKUSUDI Tu au Labda Hujakaa Sana Na WAZEE Ujifunze Jinsi Ya Kuishi Nao?

Sababu Iliyonipelekea Kuandika UZI Huu Ni Kitendo Chako Ambacho KINAJIRUDIA Kila Kukicha Cha KUTOWAHESHIMU Wabunge Hasa WAZEE Kiumri Na Ambao Nina UHAKIKA Kuwa Wengi Wao Wana Watoto MANJEMBA ( Wakubwa ) Kuliko Hata UMRI Wako. Muda Si Mrefu Tu Umetoka KUMFOKEA Mama Yetu Mama Magreth Sitta Wakati Akiwa ANACHANGIA Na Binafsi Nimejisikia Vibaya Mno.

Rai Yangu Kwako Dada Yangu NAIBU SPIKA WA BUNGE Hebu Jaribu Basi KUWAPA KIDOGO UPENDELEO MAALUM Hao WABUNGE WOTE WENYE UMRI MKUBWA WA CCM Na Wa UKAWA Na Tambua Kuwa Hata Kwa UMRI Walionao Kidogo Huchukua Muda Mrefu KUELEZA au KUJENGA Hoja Hivyo Na Wewe WACHUKULIE Tu Hivyo Hivyo.

Naogopa Kuna Siku Atasimama Mbunge Mwenye UZEE Kama Wa Mama Sitta Halafu Unaweza Hata UKAMSONYA Kwa KUPOTEZA Muda Wakati ANAJENGA Hoja Zake. Jaribu KUWAONYESHA Kuwa UNAWAJALI Na KUWAHESHIMU Kwani Nina Amini Hao WANAWEZA Kuja Kuwa Msaada Mkubwa Mno Kwako KIUTENDAJI.

Mwisho Naomba Kukuuliza Je Hiyo Sauti Yako Ni Ndivyo Ilivyo Tu au Una MAFUA au Umeishi Sana Kwa WAKOLONI Na MABEPARI?
Ushauri wako uko vizuri sana tatizo ni ktk umaliziaji kuanzia pale uliposema mwisho naomba kukuuliza sohapendazwa na uulizaji wako umeharibu nasaha zako zilizotukuka
 
Back
Top Bottom