Naibu Spika kuwa na adabu kidogo

Naibu Spika kuwa na adabu kidogo

Kwani wazee hawana haki?kwanza vijana wameja porojo porojo sana.Nasema hana adabu si wamng'oe ktk kiti hicho?
 
Ukiona ng'ombe yuko juu ya mti, ujue kuna aliyempandisha!!!!!
 
Kwan hakuna kanuni ya kuweza kumwondoa iwapo atazidi kuvurundaTE="mkonongo1938, post: 15238200, member: 349703"]Huyu naibu spika Ccm na Ukawa watajuta kwanza hana adabu ..[/QUOTE]
Kwan
 
Kuna tatizo kubwa sana hapa. Lazima tutenganishe siasa na utendaji. Being ccm doesnt mean kuifluence our decision.
 
Hata Kama Ni Wa Chama Tawala Ila Naona Kama Vile HAWAHESHIMU Wabunge Saa 12 Jioni ( Wazee ) Mule Hasa Kwa Jinsi Anavyowajibu au Kuwaongelesha. Sidhani Kama MAADILI Ya Kitanzania Anayo Hasa UKIZINGATIA Tokea Chekechea, Shule Ya Msingi, Ya Upili Na Hadi Chuo Kikuu Kasomea MAMTONI Hivyo Hana Habari Na Akina Siye Tuliosomea Shule Zetu Hizi Za SIAMINI KICHEKO.
Maisha yake ya shule amesomea Mbeya toka utotoni na badae Zanaki na chuo kikuu cha Dsm.
Her doctoral studies amepiga SA
 
halafu kembamba na kanavaa suruali za kubana zinaitwa msoboka
 
Sasa "namkaryibisha" mbunge wa irwarwa" atoe hoja yake (kwa lafudhi na sauti ya naibu spika).
 
Sijaona tofauti kati ya maneno mabaya ya Naibu Spika kwa wabunge wazee na maneno yako kwa wagombea urais 2015 wazee. Hebu angalia ulivyoandika siku za nyuma na halafu leo unajidai una adabu kwa wazee

Leo eti kasahau kabisa kabisa kabisa
 
Acha upumbavu wewe kijana ......ushenzi umenifunza wewe!!?? Pimbi wahedi wee. Mimi sikujui ulivyo...nijulishe.

Siyo Kosa Lako Kwani Vijana " Mnaobabuliwa " Hapo Magomeni Mapipa Kwa Macheni Hizi Ndizo " Pigo " Zenu.
 
Siyo Kosa Lako Kwani Vijana " Mnaobabuliwa " Hapo Magomeni Mapipa Kwa Macheni Hizi Ndizo " Pigo " Zenu.
Nijulishe wewe ni nani kenge weee...sio unajifaragua. Unafikiri kila mtu ni wa kupigwa mikwara mbuzi humu!!?? Eti wanakufahamu ulivyo...nani!!?? Kuwa makini kijana shauri yako.
 
Nijulishe wewe ni nani kenge weee...sio unajifaragua. Unafikiri kila mtu ni wa kupigwa mikwara mbuzi humu!!?? Eti wanakufahamu ulivyo...nani!!?? Kuwa makini kijana shauri yako.

KANISHINDWA KUNITISHA MWENZAKO MGOMBEA URAIS MFALME NJOZI MWENYE KILA KITU NA UMAFIA WAKE WOTE UNAOTUKUKA UTAWEZA WEWE " KINYANKERA? " Vipi Naomba Kujua Ratiba Yako Ya Leo Kwenda " KUBABULIWA " Tena Pale Uwanja Wenu Wa Nyumbani Magomeni Mapipa Kwa Macheni Ni Saa Ngapi Ili Kama Vipi Na Mimi Leo Nije Japo " Niipenyeze " Tu.
 
KANISHINDWA KUNITISHA MWENZAKO MGOMBEA URAIS MFALME NJOZI MWENYE KILA KITU NA UMAFIA WAKE WOTE UNAOTUKUKA UTAWEZA WEWE " KINYANKERA? " Vipi Naomba Kujua Ratiba Yako Ya Leo Kwenda " KUBABULIWA " Tena Pale Uwanja Wenu Wa Nyumbani Magomeni Mapipa Kwa Macheni Ni Saa Ngapi Ili Kama Vipi Na Mimi Leo Nije Japo " Niipenyeze " Tu.
Wameshakuharibu kijana sio kosa lako.
 
Nakiri wewe ni mwana CCM mwenzangu tena uliyetukuka tu na nakukubali kiutendaji kutokana na sifa zako za kiueledi ulizonazo ila nimekuwa nikikufuatilia kwa jicho langu la tatu la (tai) hasa siku ambazo umekuwa ukishikilia hicho kiti na nimegundua mambo kadhaa ambayo najiuliza je huwa unafanya makusudi tu au labda hujakaa sana na wazee ujifunze jinsi ya kuishi nao?

Sababu iliyonipelekea kuandika uzi huu ni kitendo chako ambacho kinajirudia kila kukicha cha kutowaheshimu wabunge hasa wazee kiumri na ambao nina uhakika kuwa wengi wao wana watoto manjemba (wakubwa) kuliko hata umri wako. Muda si mrefu tu umetoka kumfokea mama yetu mama magreth sitta wakati akiwa anachangia na binafsi nimejisikia vibaya mno.

Rai yangu kwako dada yangu naibu spika wa bunge hebu jaribu basi kuwapa kidogo upendeleo maalum hao wabunge wote wenye umri mkubwa wa CCM na wa UKAWA na tambua kuwa hata kwa umri walionao kidogo huchukua muda mrefu kueleza au kujenga hoja hivyo na wewe wachukulie tu hivyo hivyo.

Naogopa kuna siku atasimama mbunge mwenye uzee kama wa mama Sitta halafu unaweza hata ukamsonya kwa kupoteza muda wakati anajenga hoja zake. Jaribu kuwaonyesha kuwa unawajali na kuwaheshimu kwani nina amini hao wanaweza kuja kuwa msaada mkubwa mno kwako kiutendaji.

Mwisho naomba kukuuliza je hiyo sauti yako ni ndivyo ilivyo tu au una mafua au umeishi sana kwa wakoloni na mabepari?

Ukitaka kujua HULKA ya mtu mpe cheo.Sasa ndiyo mjue hulka yake,sivyo mnavyofikiri alivyo.Ni mmoja kati ya wale bodi members waliotimuliwa kwa sbabu ya ufujaji wa mali ya umma.
 
Back
Top Bottom