PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,182
Mkuu. Huyu Dada Kama Ameolewa Nampa Pole Ndugu Huyo Mumewe Maana Inaelekea Huyu Binti ni Hatari Tupu. Ajirekebishe Kwakweli Maana Ili Uwe Kiongozi Bora Hekima ni Jambo Jema Sana.
Mkuu una mbwembwe sana mara Ufaransa mara Marekani sijui unaishi wapi hasa?Mara Rwanda mara Tanzania mara usalama wa Taifa aiseee wewe ni nomaaa.....anyway habari yako Mkuu?
Unataka Kujua Maisha Yangu Unataka Kuchukua Nafasi Ya Mke Wangu?
Mkuu kwani hujui CCM walivyo?huyo spika sijui kwa nini CCM walimuamini kiasi hicho.
Mkuu. Huyu Dada Kama Ameolewa Nampa Pole Ndugu Huyo Mumewe Maana Inaelekea Huyu Binti ni Hatari Tupu. Ajirekebishe Kwakweli Maana Ili Uwe Kiongozi Bora Hekima ni Jambo Jema Sana.
Ni ulimbukeni tu,hakuna cha malezi ya ulaya wala bongo
Mkuu kama unayo ebu tupiamo basiJamani amesoma ZANAKI tena kuna picha yake moja ni ya aibu imepita sana mitandaoni.Kama Ulaya kaenda alipokuwa anafanya PHD
Naibu spika ana jeuri na kiburi.Kwenye hili bunge yeye haangalii umri anaona wote ni umri sawa.Nimeamini hajalelewa kwa maadili ya kiafrika ya kuwaheshimu wanaokuzidi umri.