Nahitaji wa kunijazia form ya ufadhili, nitakupoza

Islam005

JF-Expert Member
Nov 1, 2008
3,288
3,320
Nahitaji kuchukua mkopo mdogo hapa ofisini, sasa kuna form za wadhamini kama mbili ila anatakiwa mtu anayefanya serikalini au kwenye shirika kubwa linalotambuka. Mkopo ni mdogo tu na ni hapa hapa ofisini ninapofanyia kazi sio kwenye taasisi za mikopo. Unaweza kuja kuhakikisha ninapofanyia, HAIITAJIKI UWEKE MALI AU USEME UNA MALI GANI, ni kaform ka kujaza tu. nitakupoza kiasi kizuri tu, tutakubaliana. Nimeshapata mmoja bado mmoja.

Msianze kusema tafuta ndugu zako, wengine kwenye familia zetu sisi ndio tupo kwenye mfumo wa ajira. ASANTENI, location ni Dar
 
Nipo tayari kukusaidia ndg katika kazi,nitafute kwa no hii 0719 609248/0612739248
 
Nahitaji kuchukua mkopo mdogo hapa ofisini, sasa kuna form za wadhamini kama mbili ila anatakiwa mtu anayefanya serikalini au kwenye shirika kubwa linalotambuka. Mkopo ni mdogo tu na ni hapa hapa ofisini ninapofanyia kazi sio kwenye taasisi za mikopo. Unaweza kuja kuhakikisha ninapofanyia, HAIITAJIKI UWEKE MALI AU USEME UNA MALI GANI, ni kaform ka kujaza tu. nitakupoza kiasi kizuri tu, tutakubaliana. Nimeshapata mmoja bado mmoja.

Msianze kusema tafuta ndugu zako, wengine kwenye familia zetu sisi ndio tupo kwenye mfumo wa ajira. ASANTENI, location ni Dar
Sasa kama muajiri wako anayekufahamu ameshindwa kukuamini mpaka vpi mm ninayekujua kupitia jf??
 
Kivipi? Hii ni taasisi na huo ndio utaratibu wa kutoa mikopo kwa wafanyakazi wake. Au unahisi nafanya kazi dukani kwa mtu?
 
Back
Top Bottom