Taasisi zipi zinatoa mikopo au ufadhili wa elimu ya juu hapa Tanzania?

mtume wawatu

JF-Expert Member
Oct 30, 2016
997
1,078
Habari za muda huu ndugu zangu watanzania. kutokana na changamoto zinazoletwa na uwezo mdogo wa bodi ya mikopo kwa elimu ya juu, napenda kufahamu ni taasisi ipi inayoweza kutoa mkopo au ufadhili kwa mwanafunzi anayetaka kusoma elimu ya juu hapa Tanzania hasa program za masters au phd? a nasubiri majibu yenu kwa unyenyekevu mkubwa.
 
Mwaka jana kuna taasisi flani ya boss wetu Mo ilikuwa inaitwa Mo scholarship kitu kamaa ichoo
 
Back
Top Bottom