Nahitaji msaada wa kisheria juu ya hii kesi

Kaiche

Senior Member
Jan 23, 2017
141
269
Habari JF ,

Mpwa wangu ni Mtumishi wa serikali , katika harakati zake za maisha ,Amekopa taasisi mbili tofauti za ukopeshaji pesa kwa watumishi.

Dhamana ya mkopo wake ni mshahara ambapo kwa maelezo wanaacha kadi ya benk akaunt ya mshahara.

Kampuni moja inamdai 1,600,000 na nyingine 1,400,000 , Kilichotokea alikopa sehemu ya kwanza akaacha kadi , baadae kadi ikawa expired , akaitwa abadilishe , akatumia nafasi hiyo kwenda kukopa taasisi nyingine.

Sasa ya hii ya kwanza wamemshataki polis na aliwekwa lockup na nilienda kumtoa wiki iliyopita , na kukubaliana alipe hiyo pesa ,

Tumeenda taasisi ya pili hawataki kumlipia hili deni , na mshahara wake ni mdogo hauwez kugawanyw kwenda sehem zote.

Polisi anatusumbua sana , na anatak amkamate amweke ndani ,

Ndugu zangu naomba msaada kwenye hili shauri , Anatokaje huyu mwanangu , ukizingatia hana pesa , tumepambana hakuna kitu , Msaada tafadhali wa kisheria hapa. Ukizingatia ni mtumishi , anatokaje salama?
 
Sasa kama Hela za kumlipia unazo tatizo linatika wapi?
 
Mh

Mimi siyo mwanasheria lakini ngoja niongelee upande ninaohisi naujua.

Kama 3M imesababisha jamaa awe hawezi kukatwa tena yawezekana ana mikopo mingine zaidi ya hii miwili na anakuficha.

Taasisi ambazo zinajiheshimu kidogo hua zinafanya KYC kwa mteja mojawapo ni hiyo ya kuona ikiwa mteja anakopesheka na hizi taasisi hua hazina haja ya kubaki na kadi yako ya ATM kwakua zinakua zimeshafanya kiasi husika kiwe kinachepuka na kuingia kwenye akaunti yao.

Deni hua lina dhamana na kwa mtumishi wa serikali hapo ndiyo kitonga zaidi kiasi mdaiwa akifa au akikimbia kulipa deni hii taasisi haina haja ya kumtafuta jamaa ili impeleke jela. Kama hiyo taasisi ilimuamini jamaa dhamana yake iwe kadi ya ATM mbona sasa hivi hawaitaki tena?

Mdaiwa sugu taarifa zake hua zinapelekwa Credit Bureau hii husababisha mdaiwa huyu ashindwe kukopa sehemu zote zinazojiheshimu kidogo. Ndiyo maana ndugu yako imebidi aende kukopa huko ambako imebidi wakae na kadi yake.

Kwa namna anavyodaiwa hapo ndugu yako ni amekopa kwa loan sharks. Mfano wa loan sharks maarufu ni wale Oya ambao wakimfuata mdaiwa na kumkosa ila wakakuta madumu ya maji wanaondoka nayo au wanafunga mahema kumsubiri mhusika.

Mwisho kabisa, hakuna mkopeshaji ambaye target yale siyo kulipwa. Hata ukiweka nyumba kama dhamana wao hua hawalengi nyumba hua wanalenga kulipwa. Mwambie ndugu yako afike kwenye hiyo taasisi na akae nao chini na kutafuta suluhu ya njia mpya ya malipo kwakua ya awali imeshafeli.
 
.............. Kilichotokea alikopa sehemu ya kwanza akaacha kadi , baadae kadi ikawa expired , akaitwa abadilishe , akatumia nafasi hiyo kwenda kukopa taasisi nyingine...... kwa kufanya hivi ni kosa na bora upatane na mshitaki wako kabla hujapelekwa kwa kadhi ambako utalipa deni na fine juu

Uaminifu na nidhamu ya fedha ni jambo muhimu sana
 
Ukishaona umekopa kiasi kikubwa cha fedha na ukashindwa kurejesha acha tabia ya kutafuta mkopo mwingine ili ulipie ule wa awali, huwezi kutoka shimoni kwa kuendelea kuchimba shimo. Mikopo inasaidia ila kuna muda n mibaya sana hasa hii yenye riba kubwa.
 
Mh

Mimi siyo mwanasheria lakini ngoja niongelee upande ninaohisi naujua.

Kama 3M imesababisha jamaa awe hawezi kukatwa tena yawezekana ana mikopo mingine zaidi ya hii miwili na anakuficha.

Taasisi ambazo zinajiheshimu kidogo hua zinafanya KYC kwa mteja mojawapo ni hiyo ya kuona ikiwa mteja anakopesheka na hizi taasisi hua hazina haja ya kubaki na kadi yako ya ATM kwakua zinakua zimeshafanya kiasi husika kiwe kinachepuka na kuingia kwenye akaunti yao.

Deni hua lina dhamana na kwa mtumishi wa serikali hapo ndiyo kitonga zaidi kiasi mdaiwa akifa au akikimbia kulipa deni hii taasisi haina haja ya kumtafuta jamaa ili impeleke jela. Kama hiyo taasisi ilimuamini jamaa dhamana yake iwe kadi ya ATM mbona sasa hivi hawaitaki tena?

Mdaiwa sugu taarifa zake hua zinapelekwa Credit Bureau hii husababisha mdaiwa huyu ashindwe kukopa sehemu zote zinazojiheshimu kidogo. Ndiyo maana ndugu yako imebidi aende kukopa huko ambako imebidi wakae na kadi yake.

Kwa namna anavyodaiwa hapo ndugu yako ni amekopa kwa loan sharks. Mfano wa loan sharks maarufu ni wale Oya ambao wakimfuata mdaiwa na kumkosa ila wakakuta madumu ya maji wanaondoka nayo au wanafunga mahema kumsubiri mhusika.

Mwisho kabisa, hakuna mkopeshaji ambaye target yale siyo kulipwa. Hata ukiweka nyumba kama dhamana wao hua hawalengi nyumba hua wanalenga kulipwa. Mwambie ndugu yako afike kwenye hiyo taasisi na akae nao chini na kutafuta suluhu ya njia mpya ya malipo kwakua ya awali imeshafeli.
Shukrani kwa maelezo mazuri , Kwa kuongezea ni kuwa hata mimi nilidhani hivyo , Ila hawa watumishi ukiacha na hizi benk kuna credit loan ambazo huwa wanakopa , Kwa hiyo hizo hazina haja ya kufuata zile taratibu za mikopo kama ya benk ,

Kwa maelezo ni kuwa unaenda na benk statement , Na salary slip then wanakukopesha , unaacha kadi , pay ikitoka wanachukua chao .

In case ya huyu , ana mkopo nmb , na hizo taasisi.
 
Habari JF ,

Mpwa wangu ni Mtumishi wa serikali , katika harakati zake za maisha ,Amekopa taasisi mbili tofauti za ukopeshaji pesa kwa watumishi.

Dhamana ya mkopo wake ni mshahara ambapo kwa maelezo wanaacha kadi ya benk akaunt ya mshahara.

Kampuni moja inamdai 1,600,000 na nyingine 1,400,000 , Kilichotokea alikopa sehemu ya kwanza akaacha kadi , baadae kadi ikawa expired , akaitwa abadilishe , akatumia nafasi hiyo kwenda kukopa taasisi nyingine.

Sasa ya hii ya kwanza wamemshataki polis na aliwekwa lockup na nilienda kumtoa wiki iliyopita , na kukubaliana alipe hiyo pesa ,

Tumeenda taasisi ya pili hawataki kumlipia hili deni , na mshahara wake ni mdogo hauwez kugawanyw kwenda sehem zote.

Polisi anatusumbua sana , na anatak amkamate amweke ndani ,

Ndugu zangu naomba msaada kwenye hili shauri , Anatokaje huyu mwanangu , ukizingatia hana pesa , tumepambana hakuna kitu , Msaada tafadhali wa kisheria hapa. Ukizingatia ni mtumishi , anatokaje salama?

Kama kweli hana uwezo mwambie aende Police, akae ndani, angoje, apelekwe mahakamani.

Ataponea mahakaman, mahali pekee pa kuponea kwenye haya maisha ni mahakamani.

Ninajua hayo nakampuni ya mkopo yanakuwaga na makosa kibao, hawataweza.

Asiogipe kuwekwa ndani, akae tu, baasa ya mda watamuachia tu bila shida yeyote.

Ila ndugu yako naye ni mdanganyifu, maisha wakati mwingine ni magumu, ila uaminifu mzuri.
 
Huyo Mpwa wako ndio wewe mwenyewe,

Dawa ya deni ni kulipa,unataka ushauri wa kukwepa deni?
Maisha hayajawahi kua rahisi kihivyo,tafuta hela ukalipe deni lako,
Hapa JF utapata kila aina ya maelezo But at the end ni deni lilipwe tu that's all.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom