Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,278
- 44,414
note 3 ni ya zamani kabla ya 2015Natumia samsung Note 3 lakini sioni kitu kilichoandikwa Themes
japo nimeingia settings na kutafuta mno.
Msaada zaidi
note 3 ni ya zamani kabla ya 2015Natumia samsung Note 3 lakini sioni kitu kilichoandikwa Themes
japo nimeingia settings na kutafuta mno.
Msaada zaidi
note 3 ni ya zamani kabla ya 2015
Una maanisha kama hivi my dear charminglady
Ndio my dear @UncleUber .... Afu ujue nimekumiss kuja PM uchukue my no....
![]()
![]()
![]()
Whatsapp ipo madam,tafuta yowhatsapp.Ninayo samsung but nimeangalia sio hiyo theme nyeusi... BlackBerry ina white font na black background but haisupport whatsapp anymore
Nitakwenda mkuu lkn siioni hiyo themesumejaribu kwenda setting kisha themes?
inatuma picha?Whatsapp ipo madam,tafuta yowhatsapp.
Z10 yangu nimerudi whatsapp tayari
then itakuwa haina themes mkuu.Nitakwenda mkuu lkn siioni hiyo themes
Mkuu mkwawa....Nitakwenda mkuu lkn siioni hiyo themes
hio ni invert color ndio inavyokuwa hivyo huwezi ibadili.Mkuu mkwawa....
Nimeiweza kwa kupitia setting..then accessibility....
Sasa picha zinakuwa hazisomeki zipo kama negative..pls help!
Sawa mkuu....ahsante sana.hio ni invert color ndio inavyokuwa hivyo huwezi ibadili.
inakuwepo kwenye oled tu. lcd kwa macho unaona kama ni black ila sio [HASHTAG]#000000[/HASHTAG]
Mkuu Chief Mkwawa
Msaada Wa Ufafanuzi Kuhusu Vioo Ama Haya Maneno Yanayotumika Kwenye Smartphone
PLS TFT
Super AMOLED
Gorilla Glass
Watumiaji Waliowahi Kutumia Samsung Galaxy J5 Prime
Ubora Wake Upoje
na inapiga kazi vizuri mpk kutuma picha na kupost status za(24hrs)???Whatsapp ipo madam,tafuta yowhatsapp.
Z10 yangu nimerudi whatsapp tayari
Kwenye kutuma picha,attachment bado changamoto mkuuna inapiga kazi vizuri mpk kutuma picha na kupost status za(24hrs)???
Haitumi mkuuinatuma picha?
Hamna theme ya kubadili simu yote iwe nyeusi utamaliza mb hutaipata. Hio feature inatakiwa iwe inbuilt kwa kernel ya os unayotumia.Ngoja Nijaribu Nyeusi Nyingine Maana Zipo Nyingi Sana
Nimejaribu Mbili Zote Kwenye WhatsApp Na Telegram Kumebaki Vile Vile
hiyo ni launcher themes inabadili hadi apps. nishatumia themes kibao kuanzia setting, notifications na app almost zote maarufu kama whatsapp zinabadilika na kuwa nyeusi.Ubaya wa theme haibadilishi sehemu zote, ukiingia settings ni peupe, ukiingia kwenye apps ni peupe