Nahitaji simu yenye background nyeusi

Nahitaji simu yenye background nyeusi

Wakubwa msaada wenu nina Tecno C9 natala kubadl ila ninunuwe Tecno Lakin naomba kujua ni sm gan Tecno yenye uwezo wa Camera kulko C9 front camera & back camera
 
Mkuu vipi kwa htc hii kitu inawezekana? Hivi na ile update ya htc one e9+ bado haijatoka? Na vipi kuhusu custom roms zake zipo?
mkuu simu za mediatek ni majanga linapokuja suala la custom rom na updates. sidhani kama simu ya miaka miwili mitatu iliopita itapata tena update kwa sasa
 
Ok mkuu,so hapo kupata angalau baadhi ya custom features ni kwakutumia xposed modules pekee? Na vipi uwezekano wa hiyo dark theme kwa hiyo simu?
 
angalia hapa zipo custom rom za kiaina aina ila hazija nishawishi.

One (E9+) General

kuna moja unaiweka kama backup ya twrp.

kuhusu themes mbona site ya HTC inasema simu yako inasupport themes?

kwenye list ya app hakuna inayoitwa themes?
 
Ipo sema hiyo dark theme kwenye theme store yao siioni,inakuja dark ambayo kwenye apps haibadilishi chochote.
 
alternative ni kutumia substratum ila sidhani kama kuna version ya lolipop

mfano hii material glass hapa imeathiri hadi playstore

Best-Substratum-themes-for-Android-Material-Glass-Theme-for-substratum2.png

kama utapata kuipeleka simu yako angalau android 6 au utapata namna ya kuweka substratum utaweza eka themes.
 
angalia hapa zipo custom rom za kiaina aina ila hazija nishawishi.

One (E9+) General

kuna moja unaiweka kama backup ya twrp.

kuhusu themes mbona site ya HTC inasema simu yako inasupport themes?

kwenye list ya app hakuna inayoitwa themes?
Vip kuhusu techno spack plus. Yenyewe inabadili ila in affect Kama app na picha hazionekani vizuri. Hakuna app ambayo inaweza Fanya back ground iwe nyeusi??
 
hio ina android 7 nafkiri inakubali substratum, ila fanya at your own risk maana hii sio official toka manufacture.

nenda playstore search substratum idownload halafu ifungue kwenye simu then search theme yoyote ya substratum huko playstore kisha download nayo itaingia kwenye app ya substratum, apply hio theme na simu itabadilika.
 
alternative ni kutumia substratum ila sidhani kama kuna version ya lolipop

mfano hii material glass hapa imeathiri hadi playstore

Best-Substratum-themes-for-Android-Material-Glass-Theme-for-substratum2.png

kama utapata kuipeleka simu yako angalau android 6 au utapata namna ya kuweka substratum utaweza eka themes.
Nimedownload lakini haijafanya kazi kwangu

Back
Top Bottom