dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 24,855
- 61,911
Mkuu Chief Mkwawanimecheki online ina themes support. nenda setting kisha themes, ingia store ya themes halafu chagua unayopenda.
ni vyema pia ukachagua themes nyeusi na kupos hapa ili mtoa mada athaminishe kama ndio anayotaka.
sasa hapo unaweza chagua muonekano unaotaka mwenyewe sio lazima iwe nyeusi, kila mtu na anavyopenda.Background Yote Inakuwa Nyeusi Sana Pia Unachagua Rangi Mbalimbali Unayoitaka Pia Muonekano Wa Simu Huwa Mzuri
Keyboard Yote Ni Nyeusi
Ngoja Nijaribu Nyeusi Nyingine Maana Zipo Nyingi Sanasasa hapo unaweza chagua muonekano unaotaka mwenyewe sio lazima iwe nyeusi, kila mtu na anavyopenda.
kuhusu whatsapp kutokua nyeusi sijajua themes za samsung zinafanyaje kazi. inawezekana ni theme hio haiwezi ila theme nyengine ikaweza au theme zote haziwezi.
huku kwenye Cyanogen ukiweka nyeusi hadi whatsapp inakuwa nyeusi.
hizi 1+ hivi ziko bongo kweli?1-Ingependeza zaidi kama ungesema na budget uliyonayo,Kuna simu inaitwa oneplus 3 ina hiyo feauture.
![]()
2-iphone x ina dark mode(ios 11 kama una iphone ina support ina dark mode pia.
3-apps from store
Hizi ni apps za android zinazo support.
-Textra
-Hello
-Handcent Sms
-Chomp sms
-Go sms pro
Unaweza kwenda playstore kuzitafuta au ku download apk zake.
4-Kuna apps pia ambazo ukiiweka kwenye hio simu lazima iwe rooted ku support hiyo dark mode(black n white}
Zitakuwepo jaribu kutafuta ukikosa order onlinehizi 1+ hivi ziko bongo kweli?
nazitafuta saana
MkuuKwenye android 7.0 unaseti vipi kwa hizi tecno
jaribu ku invert rangi kwa kwenda setting kisha system kisha accessibility kisha eka on color inversion.Kwenye android 7.0 unaseti vipi kwa hizi tecno
umejaribu kwenda setting kisha themes?Mkuu mkwawa nimeipenda hiyo theme....sasa msaada naomba cm yangu ni Samsung Grand prime + ...
Naomba kujua kama inaweza kuwepo hiyo theme?
Una maanisha kama hivi my dear charmingladyWanajamvi hamjambo...
Nahitaji kununua simu yenye black background maandishi yanakuwa meupe ninapoandika sms.
Ninayo simu ya aina hiyo lakini haisupport baadhi ya application.
Je ni simu gani inaweza kuwa na hiyo features???
C.c. @chiefmkwawa
nova ni launcher tu, inaathiri homescreen basi, vitu kama whatsapp, msg, settings haviathiriki.Novalaucher nayo ina theme nyeusi,waweza jaribu ukajionea
jaribu ku invert rangi kwa kwenda setting kisha system kisha accessibility kisha eka on color inversion.
alternative nenda store jaribu app ya substratam uone kama itakubali kwako.