Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,278
- 44,414
themes unaweza tumia hii kutest.K
Kumbe ni mpaka nidownload na theme nilidownlod hiyo substratum tu basii
[Substratum] BlueDragoon – Applications Android sur Google Play
themes unaweza tumia hii kutest.K
Kumbe ni mpaka nidownload na theme nilidownlod hiyo substratum tu basii
Ngoja nijaribu hii![]()
nilipofikia ni hapo. Msaada wako tena![]()
hapo kwenye select to toggle all overlays paguse ili pawe on itatick sehemu zote kisha chagua hiko kialama cheusi cha duara ku apply.![]()
nilipofikia ni hapo. Msaada wako tena![]()
Hapo ukitaka hiyo kitu unataka nunua Microsoft Lumia yoyote Ina background mode na maandishi yanakuwa meupe kabisa. Sio application ni theme tu kwa hiyo huna haja ya kuhangaika kudownload
ndio zinatoweka hazitengenezwi tena. una uhakika unataka windows phone? umefanya utafiti wa kutosha? maana mtengenezaji akisitisha support hata watengeneza apps na games na wao wanaanza kutoa apps zao.Nimejaribu kutafuta Nokia Lumia 950xl hapa Mwanza hakuna... Kuna Nokia ambazo sio Windows ni Android nami nataka windows phone...
Chief-Mkwawa wapi kwa Dar nawezsa kupata Nokia Lumia 950xl? Je duka la Nokia pia kwa Dar linapatikana wapi?
Kwa tetesi za chinichini wanasema kwamba Windows phone zinaeleekea kutoweka je ni kweli Chief?
ndio zinatoweka hazitengenezwi tena. una uhakika unataka windows phone? umefanya utafiti wa kutosha? maana mtengenezaji akisitisha support hata watengeneza apps na games na wao wanaanza kutoa apps zao.
kuna jamaa group la deals in dar namuona hapa anaziuza, unazipata mtaani tu siku hizi.
Nina microsoft Lumia 640XL LTE hapa inauzwaNimejaribu kutafuta Nokia Lumia 950xl hapa Mwanza hakuna... Kuna Nokia ambazo sio Windows ni Android nami nataka windows phone...
Chief-Mkwawa wapi kwa Dar nawezsa kupata Nokia Lumia 950xl? Je duka la Nokia pia kwa Dar linapatikana wapi?
Kwa tetesi za chinichini wanasema kwamba Windows phone zinaeleekea kutoweka je ni kweli Chief?
Very simpleWanajamvi hamjambo...
Nahitaji kununua simu yenye black background maandishi yanakuwa meupe ninapoandika sms.
Ninayo simu ya aina hiyo lakini haisupport baadhi ya application.
Je ni simu gani inaweza kuwa na hiyo features???
C.c. @chiefmkwawa
Very simple