Nahitaji simu yenye background nyeusi

Nahitaji simu yenye background nyeusi

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,304
Reaction score
12,999
Wanajamvi hamjambo...
Nahitaji kununua simu yenye black background maandishi yanakuwa meupe ninapoandika sms.

Ninayo simu ya aina hiyo lakini haisupport baadhi ya application.

Je ni simu gani inaweza kuwa na hiyo features???
C.c. @chiefmkwawa
 
simu yoyote yenye support ya themes inaweza fanya hicho kitu. unadownload themes nyeusi tu.

ila themes nyeusi inapendeza kama kioo ni cha amoled au oled maana ile nyeusi inakuwa tii, halafu ikirun kitu cheusi inakuwa haili chaji sana.

sasa hivi una simu gani?

samsung nyingi za kisasa zina amoled na option ya themes nyeusi.
 
BlackBerry z10
 
1-Ingependeza zaidi kama ungesema na budget uliyonayo,Kuna simu inaitwa oneplus 3 ina hiyo feauture.
oneplus-3-3.jpg

2-iphone x ina dark mode(ios 11 kama una iphone ina support ina dark mode pia.

3-apps from store
Hizi ni apps za android zinazo support.
-Textra
-Hello
-Handcent Sms
-Chomp sms
-Go sms pro
Unaweza kwenda playstore kuzitafuta au ku download apk zake.

4-Kuna apps pia ambazo ukiiweka kwenye hio simu lazima iwe rooted ku support hiyo dark mode(black n white}
 
iphone ina invert mode na sio dark mode. kuna utofauti hasa wa compability baina ya hivyo vitu.
 
black background si unadownload- play store?

Sio hiyo mpendwa... Nimeangalia play store. Niinayotaka ni ile nikiwa nachat maandishi yanakuwa meupe back ground nyeusi... iloyoko paly store ni theme tu nyeusi ila maandishi katika chatting ni meusi na background inabaki kuwa nyeupe..
 
z10 haina support ya themes.

kama una rafiki yako ana samsung ya karibuni kuanzia 2015 muazime hata dakika kadhaa nenda setting kisha themes tafuta theme nyeusi halafu apply then utaangalia kama inakufaa.

pia kuanzia android 7, android yenyewe ina black mode.

Ninayo samsung but nimeangalia sio hiyo theme nyeusi... BlackBerry ina white font na black background but haisupport whatsapp anymore
 
ndio sio dark mode, invert ni kama zile movie za zamani au negative ya mkanda wa camera inakuwa na ukijivu fulani. zote mbili dark mode na invert mode ninazo kwenye rom ya cyanogen.

kwenye kioo cha oled kuna utofauti mkubwa baina ya nyeusi [HASHTAG]#000000[/HASHTAG]

na aina zote za gray, ikiwa black pekee ndio pixel zinazima, ikiwa gray hata kidogo hazizimi, zinawaka kwa mwanga mdogo.
 
Kwani true black ipo kwenye lcd au oled?
 
ndio sio dark mode, invert ni kama zile movie za zamani au negative ya mkanda wa camera inakuwa na ukijivu fulani. zote mbili dark mode na invert mode ninazo kwenye rom ya cyanogen.

kwenye kioo cha oled kuna utofauti mkubwa baina ya nyeusi [HASHTAG]#000000[/HASHTAG]

na aina zote za gray, ikiwa black pekee ndio pixel zinazima, ikiwa gray hata kidogo hazizimi, zinawaka kwa mwanga mdogo.
Nimejaribu kwenye ios 11 inaleta black background kwenye sms na white texts.
sema nikijaribu ku capture screen ile photo ambayo ni capturedinakuwa kawaida tena.
 
Hapo ukitaka hiyo kitu unataka nunua Microsoft Lumia yoyote Ina background mode na maandishi yanakuwa meupe kabisa. Sio application ni theme tu kwa hiyo huna haja ya kuhangaika kudownload
 
Back
Top Bottom