Nahitaji partner wa kuongea nae kiingereza, njooni tuongee

Nahitaji partner wa kuongea nae kiingereza, njooni tuongee

Try to read alot of books including novels,watch english movies with english subtitles first then afterwards watch without,you will see changes within 2-3months....mwenyewe bado mwanafunzi nimesoma kidumu na ufagio ila hivohivo kiubishi nakomaa
ok poa ila kuna group la english partener tunataka anzisha tupia no yako tukuadd kama uko tial
 
ukiwa tayari mie twende kwenye SLANG! ya Waingereza sio wamarekani!!!
 
Jamani nilituma text yangu jana naulizia nitawezaje kupata English partner.

Nataka kupractice ila wa kuongea nae sina. Nahitaj kuimprove lugha hii please help me.

Ambaye yuko tayari nicheki basi unipe ushaur wako kwani ni muhimu sana kwangu (0717049263)
0672272619 see me
 
Im here because of teach you good english if you want,me can taught you good english please visit my inbox because to getting many of my details.
 
Je ulishawahi kumsikia Rasi Simba wa morogoro. Aka Mtaalamu wa kingereza Tanzania nzima? Huyo ndio jibu lako mkuu
Umeelewa lengo la jamaa? Ebu soma tena uzi wake yawezekana ndio yuko huko anahitaji mazoezi
 
Hahahaha nakumbuka kipindi naandika essay maneno 250..the zikiwa 200.
 
Nimefurahi sana kusikia hiyo IDEA yako,kwakuwa upo hapo DSM,nenda hapo BRISTISH COUNCIL wanatoa course za kuongea Kiingereza vizuri sana,hakika kwa muda mfupi utajua kuongea .Nenda watakupa utaratibu wa kujiunga na gharama zake na cheti utapata
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom