Nahitaji Nyumba ya kupanga Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahitaji Nyumba ya kupanga Arusha

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwan mpambanaji, Dec 24, 2011.

 1. M

  Mwan mpambanaji JF-Expert Member

  #1
  Dec 24, 2011
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 468
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Wadau
  Naomba mwenye kujua anisaidie kupata nyumba ya kupanga (self) yenye vyumba viwili vya kulala au zaidi,iwe maeneo ya Njiro au makao mapya,bajeti yangu ni laki moja kwa mwezi,na naweza lipa 6 miezi mfululizo.
  asanteni
   
 2. bibliography

  bibliography JF-Expert Member

  #2
  Dec 24, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 608
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 60
  labda ukapange majengo,mbauda,ngulelo,sekei au sakina ya juu kwa hyo bei njiro kwa rooms unazotaka itaanza 2 na nusu kwenda mbele makao mapya kuanzia laki mbili
   
 3. Mumwi

  Mumwi JF-Expert Member

  #3
  Dec 24, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 592
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa maeneo uliyotaja huwezi pata kwa hela hiyo labda kuanzia laki na nusu au mbili.
  Arusha Nyumba ni ghali.
   
 4. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #4
  Dec 24, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,568
  Likes Received: 1,935
  Trophy Points: 280
  Kwa Njiro pesa nyembamba hiyo.
   
 5. escober

  escober JF-Expert Member

  #5
  Dec 24, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 391
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  mods wanasherekea xmas nini?
   
 6. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #6
  Dec 24, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mkubwa ongeza dau, au taja maeneo mengine, kwa laki moja huwezi kupata
   
 7. L

  LAT JF-Expert Member

  #7
  Dec 24, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  teh teh teh

  moderators wanakula Xmass, wamechoka sana mwaka mzima wamehangaika kumuvuzisha irrelevant topics vis different forums
   
 8. M

  Mwan mpambanaji JF-Expert Member

  #8
  Dec 24, 2011
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 468
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  escober,nimepitiwa mkuu,nikaiweka kwenye jukaa lisilo lake,hope mod watanielewa
  hata ngulelo,au kwa mrefu ni sawa mkuu
   
 9. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #9
  Dec 24, 2011
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Ndiyo utafute eti...hapa tupo kisiasa zaidi
   
 10. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #10
  Dec 24, 2011
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,660
  Likes Received: 3,314
  Trophy Points: 280
  Ilikuwepo moja ya aina hiyo huku kwa msola ngoja nidhibitishe kama bado haijapata mtu ntarudi
   
 11. M

  Mwan mpambanaji JF-Expert Member

  #11
  Dec 24, 2011
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 468
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  olyset net,nakushukuru,naomba ukumbuke plz
   
 12. K

  Kiuti New Member

  #12
  Sep 10, 2014
  Joined: Sep 7, 2014
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu jaribu hii:
  Kuna nyumba ya kupanga kwa Mworombo, Arusha (6km) kutoka City center. Ni nyumba yenye vyumba vitatu (3) Master moja+vyumba viwili vya kawaida na sebule kubwa sana. Ina jiko kubwa na uzio na usalama ni wa hali ya juu. Nyumba inapangishwa kwa Tshs 160,000/- tu kwa mwezi. Kodi inalipwa kwa miezi mitatu mitatu.

  Pungufu moja la nyumba hii ni kuwa haina maji lakini ina matangi mawili (10,000Lts+2000 Liters) ambayo mpangaji anaweza kuagiza maji na kuyajaza kwa gharama yake.Hii nyumba ni mpya na ina umeme. Pia ipo mahali patulivu na usalama ni wa uhakika.

  Ukihitaji hii nyumba basi piga simu kwa Gerald 0685612463 au 0719300277.
   
 13. Makamee

  Makamee JF-Expert Member

  #13
  Sep 10, 2014
  Joined: Nov 29, 2013
  Messages: 2,005
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Unamaliza button bure.umeangalia uzi una miaka mingapi?
   
 14. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #14
  Sep 10, 2014
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 878
  Trophy Points: 280
  umenifanya nicheke mwenyewe kama punguani!
   
 15. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #15
  Sep 10, 2014
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Una dharau sana...... hv njiro ndiyo unapaona bora kuliko sehemu nyingine... maana hata USA river kuna nyumba mpaka laki 3 kwa mwezi ....!!
   
 16. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #16
  Sep 10, 2014
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Arusha ni rahisi kupata kazi kuliko kupata nyumba kwa maeneo unayotaka kwa budget hiyo mkuu!
   
Loading...