Ina rangi nzuri na ni mpya kabisa kwa muonekano Mkuu HONGERANyumba inapangishwa Arusha sanawari ya juu. Ni vyumba viwili doble self ina chumba na sebule na choo. Hakuna jiko lakini unaweza kufanya partition ya jiko. Pia ni karibu na barabara. Kwa mawasiliano zaidi piga 0768 368 574
karibu.