Nahitaji mwenza wa kuoa Morogoro


View attachment 3692469
Kulawa Mikese ghau wake tsakawa muganga wa Kingalu.
πŸ˜€πŸ˜€ Lugha gani hii mkuu?
 
huwa sikuelewi ila kwa hili....πŸ‘
 
Si umuunganishe na dada yako Grace Samia Suluhu, wewe mkuu pale Magogoni si kama kwako tu.
 

Ama vipi tukupatie mtoto wa Kisukuma
 
Hapo kwenye "Hatuna pesa mama ndo tutaanza kutafuta" bila shaka hapo kuna baadhi ya wenye uhitaji umeshawafukuza.
 
Hapo kwenye "Hatuna pesa mama ndo tutaanza kutafuta" bila shaka hapo baadhi yao umeshawafukuza.
Yeah, ni muhimu ajue. Hawezi kulala njaa wala kukosa pesa kidogo ya salon lakini ndo tunaanza kabisa chini kwenye grassroot
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…