Nahitaji Mwanamke mwenye Umasikini kama wangu ili tupendane Kidhati na tushirikiane Kuinuka Kimaisha

Usitafute maskini wala tajiri,tafuta mwenye mapenzi ya dhati nawe.. Kuna laana imejificha kwenye pesa... Ndio maana Waswahel wanasema pata pesa tujue tabia yako..
Wengi kwenye hali ya umasikini walipendana sana Lakini walipopata mali mvua ikanyesha na kulikovuja kote kukaoneakana
Well said
 
Its [mention]Mshana Jr [/mention]
Few lines
But zimemaliza mambo yote!
 
Kuna mahala popote pale nimesema naukumbatia na naupenda Umasikini kiasi kwamba najivunia nao hapa JamiiForums?

Mpuuzi mkubwa Wewe acha kunipotezea muda na hizi Pumba zako na Kukurupuka Kwako katika huu Uzi ambao nina uhakika hujausoma vizuri na Kuuelewa au hata Kunielewa nami pia.
Punguza stress mkuu, 40yrs+ na maisha hayakuendei poa ni lazima utakuwa na stress sana..
Jaribu kuwa na mitazamo chanya utafurahia maisha...
usijione kama mtu aliyefeli maisha utafanikiwa zaidi, na itakupungizia kuhisi kudharauliwa ... kama hapo juu ulipokuwa offended na reply yangu
 
Wakati ukijjitutumua kuniambia nipunguze Stress na Mimi nakuambia anza Kwanza Kuumaliza Upumbavu uliokukomaa baada ya Kurithishwa na waliohangaika Usiku Kucha kukutafuta ili uje duniani hivi.

Cc: new gal
 
Sipendi kudanganya na kuficha nina Maisha magumu na napitia Changamoto kadhaa za Kimaisha, ila naamini nikimpata Mwanamke mwenye hali kama yangu na tukapendana, kushirikiana, tukapambana na kumuomba Mwenyezi Mungu bila Kuchoka basi Umasikini wetu utabadilika na Mafanikio kutupata.

Naitwa Caludgi Mtemi Mpota nina miaka 43. Nina Shahada ya Kwanza ya Chuo Kikuu. Ni Mkristo wa Katoliki na Kabila langu ni Mmwela.

Nakaribisha Mwanamke mwenye Umri wa kuanzia miaka 38 mpaka miaka 43 tu tafadhali.
unasound kama umekata tamaa na uko magharibi ya maisha yako bila tumaini lolote sasa unatafuta liwazo la hatima yako ila usisahau wanasema life begins at 40
miaka 43 na Shahada unayo unatafuta mwanamke!? hapa kuna taarifa haijakamilika, hujawahi kuwa na mke?
umasikini wako ni wa kiwango kipi yaani ombaomba chakali au mshahara kima cha chini?
anyway ladies nafasi yenu hiyo
 
Nasikitika unayebwabwaja na kuteseka kwa huu Upuuzi na hizi Pumba zako ni Mwanaume.

Je, unataka unipe Mwanaume Mwenzangu kwa kile ambacho nakitaka kwa Mwanamke ninayemuhitaji hapa? au unawaonea Wivu Wanawake hivyo unataka ndiyo uwe unawasaidia kwa Kunibiringitia Kitandani huku ukiupokeq Mshindo Muhogo wangu?
 
Braza Kaluji unaonekana una msongo wa mawazo sana. Members wengi wamekushauri vema sana, lakini umewamaindi sana.
 
Mimi mwenye Msongo wa Mawazo ( Depression ) kama Wapuuzi wengi mnavyodhani na Wewe Mpumbavu ( Nyie Wapumbavu ) mnaojionyesha hapa nani ni Hatari zaidi Kijamii na Kimaendeleo?

Nasubiri jibu lako ili nizidi Kukudharau!!!
 
Ok uko sawa Kaluji.
 
Back
Top Bottom