Nahitaji Mwanamke mwenye Umasikini kama wangu ili tupendane Kidhati na tushirikiane Kuinuka Kimaisha

TECNO F1 ya Tsh 150,000/ niliyoinunua Miaka Mitatu Minne iliyopita ni Smartphone Kali? Uharibikiwe kwa Kunisanifu Mkuu na Hongera yako Wewe mwenye Simu ya Milioni Tano.
Nilicho kugundua huku ndani watoto au vivulana vya shule vimeuvamia mtandao na Great thinkers wanajiondokea taratibu na kubakia wasomaji wa comments za kizazi laaniwa.
 
Back
Top Bottom