Noah the lastborn
Member
- Dec 26, 2025
- 80
- 112
Naombeni muongozo wa namna ya kuwa monetized youtube kwa kupost na kucreate content ,nahitaji muongozo kidogo
hauendi kujisajili unajisajili mwenyewe hapo Youtube kwenye sehemu imendikwa earn unaweka taarifa zote Muhimu zinazohitajikaUwe na subcriber kuanzia elf 1 na kuendelea
Uwe na watch hours zaidi ya 4000 per year.
UKifikisha hivyo vigezo unaenda kujisajili...