Nahitaji msaada wenu wa haraka

Nahitaji msaada wenu wa haraka

Umeandika ki huruma kwa kweli, namim naachaga ivo ivo kwa kweli ila kuanzia leo nitabadilika kumbe inawaumizaga
Ni heri ukamwambia mtu nakuacha kwa sababu hii na hii atakuwa na amani kuliko hii hali.
 
Mapenz n pasua kichwa Sana lakn inabid TU tuende nayo

Ushauri ... Usimuache kwanza wewe mchunguze kwanza mienendo yake vuzuri huenda Kaz zinamkeep bize au Kuna mtu amechukua nafasi yako jiridhishe kwanza kwa haya Mambo

Ukigundua Kuna mtu mwite mueleze ukweli msikilize maon yake

Kama atabisha na wewe unaushahid bas jua TU huyo s wako

...JUA TU WANAUME HATURIDHIKI NA MWANAMKE MMOJA .....
Nashukuru
 
1. Umri late 20's
2. Sio mchumba
3. Hapana, simsupport wala hanisupport
4 & 5. Wote tuna kazi

Nashukuru nitazingatia.

Pole sana, kwa umri wa late 20’s means from 27, huo ni mda wa kuwa serious na wanaume; kwa hiyo kama mwanaume Sio mchumba; achana naye na usipoteze mda wako!
 
Namtafuta ila hajibu kwa wakati au hajibu kabisa.
Duuuh si ukaze moyo ndugu upite kushoto maana kiasi mpaka unakuja kuuliza huku tayari unayo majibu ya nini cha kufanya ila unatafuta justification tu. Wako akitokea utajua tu vitu vinaenda bila kutumia nguvu. Ukiona unatumia nguvu sana kwenye mahusiano utauniza moyo vibaya mno.

Muhimu zaidi kumbuka usipate pressure za ndoa itakuja tu yenyewe wakati wako ukifika acha kukimbiza wanaume. Kadri unavyokimbizana naye ndio anazidi kuchanja mbuga huko. Muache aende na kama huna baya atakuja kukumbuka wakati ukiwa umeshapita halafu zitakua sio shida zako.
 
Pole sana, kwa umri wa late 20’s means from 27, huo ni mda wa kuwa serious na wanaume; kwa hiyo kama mwanaume Sio mchumba; achana naye na usipoteze mda wako!
Asante mkuu
 
Duuuh si ukaze moyo ndugu upite kushoto maana kiasi mpaka unakuja kuuliza huku tayari unayo majibu ya nini cha kufanya ila unatafuta justification tu. Wako akitokea utajua tu vitu vinaenda bila kutumia nguvu. Ukiona unatumia nguvu sana kwenye mahusiano utauniza moyo vibaya mno.

Muhimu zaidi kumbuka usipate pressure za ndoa itakuja tu yenyewe wakati wako ukifika acha kukimbiza wanaume. Kadri unavyokimbizana naye ndio anazidi kuchanja mbuga huko. Muache aende na kama huna baya atakuja kukumbuka wakati ukiwa umeshapita halafu zitakua sio shida zako.
Asante kwa ushauri
 
Back
Top Bottom