MKAKA HALISI
JF-Expert Member
- Dec 5, 2018
- 704
- 1,390
Binafsi naona umejipendelea wewe umeeleza udhaifu na mapungufu ya mwenza wako afu unataka sisi tu conclude
Sasa ni hivi mahusiano ni hiyari na pia mahusiano hujengwa na watu wawili ambapo kila mmoja hubeba 50% sasa je wewe umetimiza wajibu wako kwa nafasi yako?
Au unataka yeye tu akupigie, kila wakati akupe zawadi ?
Je maisha maisha ya mwenza wako unayajua vizuri?
Inawezekana alitumia nguvu nyingi kukupata lkn je ndio maisha yake?
Na mengine mengi
Ushauri wangu; kama unampenda mshape awe kama utakavyo sio kila siku aanze yeye kukupa zawadi hata wewe muoneshe umuhima wa zawadi mjali tambua mapungufu yake mwandae kuwa mume and so on nimechoka kuandika

ki huruma kwa kweli, namim naachaga ivo ivo kwa kweli ila kuanzia leo nitabadilika kumbe inawaumizaga