The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 11,201
- 14,775
Habari waungwana kwanza naanza kwa kuwataka radhi kwani sina uhakika kama post hii hapa ni mahali pake au lah,nilipata mchumba miezi miwili iliyopita namba yake inaishia 51 basi kuanzia hapo naiona namba hii kila mahali tena bila kujijua mfano mimi si muangalia saa ila huwa nikiiangalia bila kujijua muda naouona ni 07:51 ,09:51,10:51 e.t.c mwanzo nilijua labda attension tu ya mapenzi kuanza sasa naona imezidi yaani naweza stuka usiku wa manane nikiangalia saa si maksudi bila kujijua nakuta ni 02:51 ,nime-google inaonesha ni common problem ila wote hawana majibu sahihi .Naomba ushauri hii ni nini !