Nahitaji msaada wa ushauri ndugu zangu

Nahitaji msaada wa ushauri ndugu zangu

Hayaaaaahh!!Na mimi nimekuwa mtu wa 51 ku-comment!! Inamaanisha nitakupora huyo mchumba wako au????
 
Brother huyo mwanamke ana herufi ''K,'' kwnye jina/majina lake/yake...??
 
haya mapenzi ya kuonana sehemu na kupeana namba haswa kwenye mitandao ni janga mtatogozwa na majini kuweni makini dada zetu
 
Hahhahhaha haya majibu ya jf unaweza jikuta umejifungia toilet unalia na kompyuta yako mkononi..ukiulizwa huna jibu
kweli kabisa yaani kuna m2 anakujibu very cold utazani sio binadamu ni jiwe kha
 
shetani hana mamlaka kwako,so usimwendekeze. Na acha kumwonea mpenzi wako sali na omba MUNGU akusaidie
 
mimi nafikiri ni mawazo tu ambayo umejaza kichwani ndio yanakutesa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom