amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,171
- 31,357
mwenzangu huu ni ugonjwa mpyaaaaa hapa mjini ujue mie kila nikilala nikiamka nikinywa maji nikioga hata nikiimagine naimagine 30 tu lolUmefurahiiiii....
mwenzangu huu ni ugonjwa mpyaaaaa hapa mjini ujue mie kila nikilala nikiamka nikinywa maji nikioga hata nikiimagine naimagine 30 tu lolUmefurahiiiii....
mwenzangu huu ni ugonjwa mpyaaaaa hapa mjini ujue mie kila nikilala nikiamka nikinywa maji nikioga hata nikiimagine naimagine 30 tu lol
ipo....tena ndio iliyoanza........halafu Dr jana nilichoka........
Hehehe kitu mwisho wa mwezi sio?
Vipi barabarani,..namba za magari huoni zimeishia 51?Habari waungwana kwanza naanza kwa kuwataka radhi kwani sina uhakika kama post hii hapa ni mahali pake au lah,nilipata mchumba miezi miwili iliyopita namba yake inaishia 51 basi kuanzia hapo naiona namba hii kila mahali tena bila kujijua mfano mimi si muangalia saa ila huwa nikiiangalia bila kujijua muda naouona ni 07:51 ,09:51,10:51 e.t.c mwanzo nilijua labda attension tu ya mapenzi kuanza sasa naona imezidi yaani naweza stuka usiku wa manane nikiangalia saa si maksudi bila kujijua nakuta ni 02:51 ,nime-google inaonesha ni common problem ila wote hawana majibu sahihi .Naomba ushauri hii ni nini !
ni kweli tunagombana sanaPole sana hebu tafuta mpenzi mwingine huyo hakufai. Kwanini? Angalia mahesabu hapa chini:
Namba 51 inakwenda 5+1 = 6 kisha ukiandika kwa mfumo wa bainare ni sawa na 110 ukichukua 1+1+0 hapa unapata 2.
2 ni namba mbaya sana kwani inawakilisha Ugomvi. Kwenye utabiri ugomvi hutokea wakati sayari mbili zinapokuwa sambamba yaani nyuzi 180 ambazo ni nyuzi za duara 360 kugawanya kwa 2 (namba ya ugomvi) :mvutaji:
Utabiri nacharge buku mbili tu nitumie kwa Mpesa:mvutaji:ni kweli tunagombana sana
Ushindwe na Ulegee Kama mlenda mkuu Tuko. Na hiyo Damu irudi huko kwenye kichwa kikubwa ili iweze kukusaidia umalize hivyo Viroba hapo mezani :mvutaji:Preta tafaazal bana... wengine tunakuwa affected na avatar. Sio siri hiyo avatar imeongeza flow ya damu maeneo fulai ya mwili wangu...