Nahitaji msaada wa kisaikolojia nimeathirika

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
2,376
Reaction score
5,472
Kwa kweli nmeathirika sana kisaikolojia. Mwanamke akiwa na tumbo kubwa binafsi nashindwa kabisa kupata hamu ya kufanya naye mapenzi. Hili jambo limeniathiri sana.

Kuna dada mmoja nampenda ananipenda mara kadhaa najaribu kufanya naye najikuta natumia nguvu kubwa sana ili nimalize. Inanidi ni mreplace na mwanamke mwingine kihisia ili nimalize. Ama sivyo tutakesha. Ye anamaliza vizuri mpaka anachoka. Mimi simalizi sababu sina hisia naye.

Tumbo. Ana tumbo kubwa shape yake nzuri imeharibika. Tumbo lipo mbele na pembeni. Yaani amepoteza mvuto kabisa though sura bado imebaki ni nzuri. Hili jambo limekuwa hivi kwa muda mrefu sana. Mpaka sasa nakwepa hata kuonana naye. Maana hanivutii kabisa.

Kuna mwingine mpaka najaribu kulala naye mara kadhaa but hamna kitu pamoja na kuwa na shape ambayo wengine wanaipenda. Mimi nashindwa sababu ya tumbo lake kubwa limeanguka na maziwa hivyo hivyo napomwona nakosa kabisa hisia naye.

Sasa sielewi hili jambo nliondoe vipi kichwani ili niwe ok napokuwa na mwanamke wa namna hiyo. Coz otherwise naona ni ngumu kabisa ku sex na mwanamke mwenye tumbo kubwa. Hata aweje nashindwa.
 
😁 😁 kwamba inabid ule ugali kwa picha samaki....ametisha sana
 
Pole sana ndugu
unapokuwa unafanya mapenzi kwa kuvuta hisia ya mke mwingne, hapo hautofautiani na mtu anayefanya mapenz kwa kuangalia picha za mkojani B (xxx), hvo upungufu wa nguvu za kiume waweza kuwa mlangoni mwako.
fanya yafuatayo
1. achana na mambo ya matamanio ya ngono
2. oa mwanamke ambaye ana umbo la hitaji lako, mpende, mhifadhi na mtunze; kila siku muone mpya.
3. epuka kutengeneza mazingra ya kuonana na huyo mwanamke, mfano akikuhitaji we andaa ratiba zako kama kutembelea jamaa zako, kufanya mazoezi, andaa route ya safari hata town trip (keep yourself busy)
4. epuka kuzaa naye, maana hyo itakuwa tiketi ya kung'ang'aniana.
5. punguza upendo mdogo mdogo, punguza vitu ambavyo ulikuwa ukimtendea.

6. akiwa kinga'sti zaidi mwambie kuwa you are not interested with her.
7.soma vitabu vya imani yako ili kupunguza kufanya uzinzi

"KUWA BUSY KUTAFUTA PESA, HUO UJINGA WOTE UTAISHA"
 
Back
Top Bottom