Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,475
- 33,038
mkuu kudhani kuna nguvu zinakuwinda ndio ukichaa wenyewe huo,unless unawajua watu physically wanaotaka kukuua na sio imagination zako...
Ni mistari ya aina tofauti ambayo inachorwa kila njia ninayopita huku magari yakinifuatilia au kunitangulia maeneo ya njia panda, vilevile katika eneo la njia panda nimekuwa nikikutana na watu wakiwa wamesimama Kama wananisubiri nipite na ni kweli nikipita tu wao huendelea na shughuli zao ila nisipopita nikakwepa inakuwa ni shida kwangu kwani watanifuatilia mpaka wahakikishe nimepita na hata hiyo michoro wanataka niikanyage kila Siku,chanzo cha tatizo ni kwamba siku moja nilikwenda kwa mtu mmoja ili kupata msaada maana hili tatizo lilianza kitambo japo lilikuwa dogs nilipokwenda tu ndo nikawa nimechochea tatizo kwa kiwango kikubwa mpaka sasaPole mkuu ktk hili.ila uja pambambanua zaidi juu ya ttzo lako.michoro gani unayo kutana nayo?na hii imekuanza lini?je chanzo cha hyo hali nini hasa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nini cha kufanya maana mimi nimehangaika pande zote kupata msaada kwa hili tatizo sidharau imani ya mtu hata siku mojaHahahahaha nimeona jinsi wachungaji wakijikurubisha kwako mkuu.
Hivi kwa waislam huduma za maombezi au kuondoa husda,uchawi hakuna? Nlicho note waislam wengi wepesi kuyaamini ya nje kuliko ya ndani yao.
Mkuu maswala ya iman kama hayo humalizwa na imani ya moyo wako itakayokuwa dhabiti kuyashinda .
Watakachokusaidia mashekhe na ma pasta ni kukupa nguvu ya kuitumia alafu kukufanya mtumwa wao. Ndo mana waona kila mtu anavutia kwake
Jifunze kuficha siri za MOYONINdugu zangu wapendwa,
Nimekuwa na tatizo ambalo limejitokeza na limekuwa likitishia uhai wangu ambapo chanzo chake ni kuunganishwa kwa nafsi yangu na sehemu nyingine ikiwa na maana kuwa Kwa kila jambo ninapolifanya popote nilipo limekuwa likifahamika na watu hao wanaonifuatilia kila sehemu nitakayokuwepo.
Yaani Kwa kifupi nimekuwa Kama kituo cha televisheni kinavyofatiliwa.
Siku moja nilikutana na mtu mmoja alinishangaa sana na katika mazungumzo alianza kuelezea kwa kuuangalia tu uso wangu alinisikitikia Sana na kuniambia tayari kuna watu tayari wameshaniunganisha na mtandao wao hivyo kila ninachokifanya wanafuatilia na tayari wameshaniweka katika target ya kuniondoa katika ulimwengu huu.
Nimekuwa nikiyaona baadhi ya matukio yanayoashiria hicho kilichosemwa hapo, vilevile hata hali yangu kiuchumi imeshuka hata imefikia hata mke wangu nimemrudisha kwao.
Nimejaribu kuonana na wachungaji mbalimbali Kwa ajili ya maombezi vilevile nimekwenda mpaka kwa waganga WA kienyeji lakini imeshindikana na imeonekana wamekuwa wakituma hata watu kunifuatilia mpaka huko kuleta ushawishi nisipate huduma.
Vilevile kumekuwa na matukio njiani kuona michoro mbalimbali na vitu vya kuogopesha ninavyotembea, vilevile kuna mmoja alipata kuniambia kuwa kwa dada wanapanga kunifungulia mashtaka ili kuniweka chini ya mikono yao.Kumekuwa na matatizo mbalimbali ambayo nakumbana nayo Kama moyo kwenda mbio, kuwa na wasiwasi muda wote.
Nimeyaandika haya kwa nia ya kuomba msaada kama kuna mtu anaweza kunisaidia ili kutatua tatizo hili kwani naamini katika jukwaa hili kuna watu makini ambao natarajia naweza pata Masada katika masuala haya
Ndugu zangu wapendwa,

Jifunze kuficha siri za MOYONI
Nauombe Mungu AKUPE machoo y rohonii
Nawajuwa watu phyisicallymkuu kudhani kuna nguvu zinakuwinda ndio ukichaa wenyewe huo,unless unawajua watu physically wanaotaka kukuua na sio imagination zako...
Tupo pamoja ndg hata wewe ukipata ni vyema ukanistua piaMkuu kwanza nakupa pole sana
Nilivyosoma ujumbe wako huu , nikadhani unaniongelea mimi . unapitia changamoto kama zangu 100%
1. Nimefuatiliwa na hizi roho sana na huenda isingekuwa watumishi wa Mungu nisingekuwa hai kabisa
Tatizo watu haya mambo wanayachukulia kimchezo ,
2. Nilifukuzwa kazi kwa sababu za ajabuajabu ukimueleza MTU anashangaa na tokea hapo natafuta kazi kila siku sipati , nyingine nafanya interview mpaka siku naitwa kusaini mkataba siku hiyohiyo management inabadili na hapo sipati tena had I nikakata tamaa kabisa na maisha , lakini ndotoni huwa maadui hao wananitokea na kusema sitafanya kazi yoyote ile
3. Uchumi umerudi 0 kabisa wakati nilikuwa nimepanda sana kiuchumi , mpaka mke wangu nikaamua kumrudisha kwao kwa muda
Kwa ufupi kama hukuwahi kupitia hizi changamoto za kiroho bora unyamaze kuliko kukejeli watu ambao mpaka MTU anaandika hapa matatizo yake maana yake amepaamini na akaaminj kuna watu wenye busara kushauri au kumpa dira ya kupona
Mkuu naomba ukipata ufumbuzi wa tatizo lako na mimi uniambie nije huko ,
napitia mambo ya hatari sana
Mi nilidhani kila mtu anruhusiwa kutoa maoni yake?Huu ni upotofu na kutokuwa serious kwa sababu hujui uzito wa yanayo mkabili mwenzio tafadhali jifunze zaidi.
Inaelekea hukuamini maombi uliyopata au mimi ndio sikuelewa. Wenye imani hawaoni vikwazo vyovyote, ongeza imani.Nashukuru sana ndugu sana hata mimi nimeamua kusimama upande mmoja wa maombi na kumwamini bwana Yesu Kristo kama msaada kwangu hata leo nimefanyiwa maombi sehemu fulani ila naamini nitafanikiwa japo kutakuwa na vikwazo vingi
Kama unahis ukipita njian unaona vitu huvielew na labda pia unasikia saut ambazo wengine hawazisikii, nakusih nenda hospitalNdugu zangu wapendwa,
Nimekuwa na tatizo ambalo limejitokeza na limekuwa likitishia uhai wangu ambapo chanzo chake ni kuunganishwa kwa nafsi yangu na sehemu nyingine ikiwa na maana kuwa Kwa kila jambo ninapolifanya popote nilipo limekuwa likifahamika na watu hao wanaonifuatilia kila sehemu nitakayokuwepo.
Yaani Kwa kifupi nimekuwa Kama kituo cha televisheni kinavyofatiliwa.
Siku moja nilikutana na mtu mmoja alinishangaa sana na katika mazungumzo alianza kuelezea kwa kuuangalia tu uso wangu alinisikitikia Sana na kuniambia tayari kuna watu tayari wameshaniunganisha na mtandao wao hivyo kila ninachokifanya wanafuatilia na tayari wameshaniweka katika target ya kuniondoa katika ulimwengu huu.
Nimekuwa nikiyaona baadhi ya matukio yanayoashiria hicho kilichosemwa hapo, vilevile hata hali yangu kiuchumi imeshuka hata imefikia hata mke wangu nimemrudisha kwao.
Nimejaribu kuonana na wachungaji mbalimbali Kwa ajili ya maombezi vilevile nimekwenda mpaka kwa waganga WA kienyeji lakini imeshindikana na imeonekana wamekuwa wakituma hata watu kunifuatilia mpaka huko kuleta ushawishi nisipate huduma.
Vilevile kumekuwa na matukio njiani kuona michoro mbalimbali na vitu vya kuogopesha ninavyotembea, vilevile kuna mmoja alipata kuniambia kuwa kwa dada wanapanga kunifungulia mashtaka ili kuniweka chini ya mikono yao.Kumekuwa na matatizo mbalimbali ambayo nakumbana nayo Kama moyo kwenda mbio, kuwa na wasiwasi muda wote.
Nimeyaandika haya kwa nia ya kuomba msaada kama kuna mtu anaweza kunisaidia ili kutatua tatizo hili kwani naamini katika jukwaa hili kuna watu makini ambao natarajia naweza pata Masada katika masuala haya
Kama unahis ukipita njian unaona vitu huvielew na labda pia unasikia saut ambazo wengine hawazisikii, nakusih nenda hospital
Mara nying ni dalili za awali za psychiatric disease, nimesema hiv nikinumlisha na iman zako hizo.
Ntashukuru ukipokea uhaur huu nenda clinic ya wagonjwa wa akili wakuchunguze
Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea katika njia njema bro wangu. Wakati upo katika shida ndipo Mungu yupo nawe karibu. Usipoteze matumaini wala usirudi tena kwa waganga unapoteza tu fedha na zaidi ni kama unakataa kuwa Mungu hawezi kukusaidia.Nakiri ni kweli imani yangu ni vuguvugu ila najitahidi kusimama katika maombi na kumwamini bwana Yesu kristo mwokozi kwa kila kiumbe chenye shida katika ulimwegu huu
Pole mkuuMkuu kwanza nakupa pole sana
Nilivyosoma ujumbe wako huu , nikadhani unaniongelea mimi . unapitia changamoto kama zangu 100%
1. Nimefuatiliwa na hizi roho sana na huenda isingekuwa watumishi wa Mungu nisingekuwa hai kabisa
Tatizo watu haya mambo wanayachukulia kimchezo ,
2. Nilifukuzwa kazi kwa sababu za ajabuajabu ukimueleza MTU anashangaa na tokea hapo natafuta kazi kila siku sipati , nyingine nafanya interview mpaka siku naitwa kusaini mkataba siku hiyohiyo management inabadili na hapo sipati tena had I nikakata tamaa kabisa na maisha , lakini ndotoni huwa maadui hao wananitokea na kusema sitafanya kazi yoyote ile
3. Uchumi umerudi 0 kabisa wakati nilikuwa nimepanda sana kiuchumi , mpaka mke wangu nikaamua kumrudisha kwao kwa muda
Kwa ufupi kama hukuwahi kupitia hizi changamoto za kiroho bora unyamaze kuliko kukejeli watu ambao mpaka MTU anaandika hapa matatizo yake maana yake amepaamini na akaaminj kuna watu wenye busara kushauri au kumpa dira ya kupona
Mkuu naomba ukipata ufumbuzi wa tatizo lako na mimi uniambie nije huko ,
napitia mambo ya hatari sana
Ndugu zangu wapendwa,
Nimekuwa na tatizo ambalo limejitokeza na limekuwa likitishia uhai wangu ambapo chanzo chake ni kuunganishwa kwa nafsi yangu na sehemu nyingine ikiwa na maana kuwa Kwa kila jambo ninapolifanya popote nilipo limekuwa likifahamika na watu hao wanaonifuatilia kila sehemu nitakayokuwepo.
Yaani Kwa kifupi nimekuwa Kama kituo cha televisheni kinavyofatiliwa.
Siku moja nilikutana na mtu mmoja alinishangaa sana na katika mazungumzo alianza kuelezea kwa kuuangalia tu uso wangu alinisikitikia Sana na kuniambia tayari kuna watu tayari wameshaniunganisha na mtandao wao hivyo kila ninachokifanya wanafuatilia na tayari wameshaniweka katika target ya kuniondoa katika ulimwengu huu.
Nimekuwa nikiyaona baadhi ya matukio yanayoashiria hicho kilichosemwa hapo, vilevile hata hali yangu kiuchumi imeshuka hata imefikia hata mke wangu nimemrudisha kwao.
Nimejaribu kuonana na wachungaji mbalimbali Kwa ajili ya maombezi vilevile nimekwenda mpaka kwa waganga WA kienyeji lakini imeshindikana na imeonekana wamekuwa wakituma hata watu kunifuatilia mpaka huko kuleta ushawishi nisipate huduma.
Vilevile kumekuwa na matukio njiani kuona michoro mbalimbali na vitu vya kuogopesha ninavyotembea, vilevile kuna mmoja alipata kuniambia kuwa kwa dada wanapanga kunifungulia mashtaka ili kuniweka chini ya mikono yao.Kumekuwa na matatizo mbalimbali ambayo nakumbana nayo Kama moyo kwenda mbio, kuwa na wasiwasi muda wote.
Nimeyaandika haya kwa nia ya kuomba msaada kama kuna mtu anaweza kunisaidia ili kutatua tatizo hili kwani naamini katika jukwaa hili kuna watu makini ambao natarajia naweza pata Masada katika masuala haya
asante ndgNenda hospital hiyo nahisi ni paranoid schizophrenia nenda kamuona daktari wa kitengo psychiatry kama unaweza MNH KUNA specialist anaitwa Dr Kuganda Saidi tatizo lako litaisha believe me
Sent using Jamii Forums mobile app