Nahitaji msaada wa kiroho

Nahitaji msaada wa kiroho

Watu wanaofanya kazi katika ulimwengu wa giza wanapenda “kuajiri” watu wenye tabia au vipaji fulani na kuwatumia katika mambo yao. Mfano watu wenye akili sana, watu wenye moyo mgumu, watu wasiri, watu wepesi kujifunza na jasiri n.k.

Nahisi unatafutwa kwa sababu hizo nk. Ila usiwe na hofu utapata uhuru wako manake Mungu anaweza yote. Tafadhali niambie kuhusu dini yako na pia kama umewahi kufikiwa na mtu au watu wakitaka ushirikiane nao katika jambo fulani na wewe hukuafiki au uliafiki bila kujua. Jaribu kukumbuka. Pia nieleze kama unaota ndoto mbaya hasa ukiwa sehemu usizo jua na watu usio wajua.
Watu wanaofanya kazi katika ulimwengu wa giza wanapenda “kuajiri” watu wenye tabia au vipaji fulani na kuwatumia katika mambo yao. Mfano watu wenye akili sana, watu wenye moyo mgumu, watu wasiri, watu wepesi kujifunza na jasiri n.k.

Nahisi unatafutwa kwa sababu hizo nk. Ila usiwe na hofu utapata uhuru wako manake Mungu anaweza yote. Tafadhali niambie kuhusu dini yako na pia kama umewahi kufikiwa na mtu au watu wakitaka ushirikiane nao katika jambo fulani na wewe hukuafiki au uliafiki bila kujua. Jaribu kukumbuka. Pia nieleze kama unaota ndoto mbaya hasa ukiwa sehemu usizo jua na watu usio wajua.
Dini yangu ni muislam ila siko vizuri sana katika masuala ya dini,ila nakumbuka siku za nyuma tatizo lilianza kidogokidogo ikanibidi kupata msaada kwa mtu mmoja ila kwa bahati mbaya ndo yakaibuka haya matatizo kwa ukubwa
 
Kwa kifupi familia yangu ilihangaika sana na imepoteza pesa kwenda sehemu mbalimbali kwa waganga wa kienyeji ili niondokane na hili tatizo, kama ingelikuwa labda kwa wazazi ndo wahusika wasingenihangaikia matibabu imefikia hata familia yangu wanashindwa kufanya shughuli zingine za kuingiza kipato, mama mzazi amekuwa ni mwenye masikitiko muda wote, upande wa kiimani wote wako vizuri
Daaah wazazi wamekuhangaikia sana mpaka kwenda kwa waganga wa kienyeji and at the same time "" kiimani wapo vizuri""" ...kaka!!??

Chagua njia moja ya kutatua tatizo lako........utafanikiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda kwa Nabii Hebron Arusha utapona siku hiyo hiyo.
Note:usipookoka na kubatizwa utapona lakini baadae matatizo yatarudi upya sababu hautakuwa na ulinzi wa Yesu Kristo.
Kesi nyingine?
Anapatikana maeneo yapi ndugu
 
Pole sana...

Ngoja nikuulize, ushawahi miliki pesa nyingi alafu ukafilisika ghafla?


Cc: mahondaw
Hapana katika historia yangu sikuwahi miliki pesa kiwango kikubwa hasa ukiangalia kazi ninayoifanya toka 2013 hadi leo
 
In the name of God, the Gracious, the Merciful.

1. Alif, Lam, Meem.

2. This is the Book in which there is no doubt, a guide for the righteous.

3. Those who believe in the unseen, and perform the prayers, and give from what We have provided for them.

4. And those who believe in what was revealed to you, and in what was revealed before you, and are certain of the Hereafter.

5. These are upon guidance from their Lord. These are the successful.

6. As for those who disbelieve—it is the same for them, whether you have warned them, or have not warned them—they do not believe.

7. God has set a seal on their hearts and on their hearing, and over their vision is a veil. They will have a severe torment.

8. Among the people are those who say, "We believe in God and in the Last Day," but they are not believers.

9. They seek to deceive God and those who believe, but they deceive none but themselves, though they are not aware.

10. In their hearts is sickness, and God has increased their sickness. They will have a painful punishment because of their denial.

11. And when it is said to them, "Do not make trouble on earth," they say, "We are only reformers."

12. In fact, they are the troublemakers, but they are not aware.

13. And when it is said to them, "Believe as the people have believed," they say, "Shall we believe as the fools have believed?" In fact, it is they who are the fools, but they do not know.

14. And when they come across those who believe, they say, "We believe"; but when they are alone with their devils, they say, "We are with you; we were only ridiculing."

15. It is God who ridicules them, and leaves them bewildered in their transgression.

16. Those are they who have bartered error for guidance; but their trade does not profit them, and they are not guided.

17. Their likeness is that of a person who kindled a fire; when it illuminated all around him, God took away their light, and left them in darkness, unable to see.

18. Deaf, dumb, blind. They will not return.

19. Or like a cloudburst from the sky, in which is darkness, and thunder, and lightning. They press their fingers into their ears from the thunderbolts, in fear of death. But God surrounds the disbelievers.

20. The lightning almost snatches their sight away. Whenever it illuminates for them, they walk in it; but when it grows dark over them, they stand still. Had God willed, He could have taken away their hearing and their sight. God is capable of everything.

21. O people! Worship your Lord who created you and those before you, that you may attain piety.

22. He who made the earth a habitat for you, and the sky a structure, and sends water down from the sky, and brings out fruits thereby, as a sustenance for you. Therefore, do not assign rivals to God while you know.

23. And if you are in doubt about what We have revealed to Our servant, then produce a chapter like these, and call your witnesses apart from God, if you are truthful.

24. But if you do not—and you will not—then beware the Fire whose fuel is people and stones, prepared for the disbelievers.

25. And give good news to those who believe and do righteous deeds; that they will have gardens beneath which rivers flow. Whenever they are provided with fruit therefrom as sustenance, they will say, "This is what we were provided with before," and they will be given the like of it. And they will have pure spouses therein, and they will abide therein forever.

26. God does not shy away from making an example of a gnat, or something above it. As for those who believe, they know that it is the Truth from their Lord. But as for those who disbelieve, they say, "What did God intend by this example?" He leads astray many thereby, and He guides many thereby; but He misleads thereby only the evildoers.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole mkuu ktk hili.ila uja pambambanua zaidi juu ya ttzo lako.michoro gani unayo kutana nayo?na hii imekuanza lini?je chanzo cha hyo hali nini hasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kifupi familia yangu ilihangaika sana na imepoteza pesa kwenda sehemu mbalimbali kwa waganga wa kienyeji ili niondokane na hili tatizo, kama ingelikuwa labda kwa wazazi ndo wahusika wasingenihangaikia matibabu imefikia hata familia yangu wanashindwa kufanya shughuli zingine za kuingiza kipato, mama mzazi amekuwa ni mwenye masikitiko muda wote, upande wa kiimani wote wako vizuri
Kiimani wote wako vizuri halafu wanaenda kwa waganga wa kienyeji???

Kuwa makini sana mkuu inaonesha imani yako ni uvuguvugu na utatapikwa na Mungu muda si mrefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu wapendwa,

Nimekuwa na tatizo ambalo limejitokeza na limekuwa likitishia uhai wangu ambapo chanzo chake ni kuunganishwa kwa nafsi yangu na sehemu nyingine ikiwa na maana kuwa Kwa kila jambo ninapolifanya popote nilipo limekuwa likifahamika na watu hao wanaonifuatilia kila sehemu nitakayokuwepo.

Yaani Kwa kifupi nimekuwa Kama kituo cha televisheni kinavyofatiliwa.

Siku moja nilikutana na mtu mmoja alinishangaa sana na katika mazungumzo alianza kuelezea kwa kuuangalia tu uso wangu alinisikitikia Sana na kuniambia tayari kuna watu tayari wameshaniunganisha na mtandao wao hivyo kila ninachokifanya wanafuatilia na tayari wameshaniweka katika target ya kuniondoa katika ulimwengu huu.

Nimekuwa nikiyaona baadhi ya matukio yanayoashiria hicho kilichosemwa hapo, vilevile hata hali yangu kiuchumi imeshuka hata imefikia hata mke wangu nimemrudisha kwao.

Nimejaribu kuonana na wachungaji mbalimbali Kwa ajili ya maombezi vilevile nimekwenda mpaka kwa waganga WA kienyeji lakini imeshindikana na imeonekana wamekuwa wakituma hata watu kunifuatilia mpaka huko kuleta ushawishi nisipate huduma.

Vilevile kumekuwa na matukio njiani kuona michoro mbalimbali na vitu vya kuogopesha ninavyotembea, vilevile kuna mmoja alipata kuniambia kuwa kwa dada wanapanga kunifungulia mashtaka ili kuniweka chini ya mikono yao.Kumekuwa na matatizo mbalimbali ambayo nakumbana nayo Kama moyo kwenda mbio, kuwa na wasiwasi muda wote.

Nimeyaandika haya kwa nia ya kuomba msaada kama kuna mtu anaweza kunisaidia ili kutatua tatizo hili kwani naamini katika jukwaa hili kuna watu makini ambao natarajia naweza pata Masada katika masuala haya

Dodoma kuna mchungaji anaitwa Mwakipesile kanisa lipo mailimbili wajenzi 0754 267 748 mpigie matatizo yako atkisaidia sana...
 
Pole mkuu.
Umesema wewe ni Muislam.
Tatizo linalokusibu sio suala la Kigonjwa, Ili uanze kuzunguka makanisani kutafuta tiba kisha uendelee na Mambo yako.
Uko Katikati ya Pambano kati ya Nguvu za Giza.
Mungu anakupenda ndio maana bado mafanikio ya wadau hao ni hafifu.
Hakuna kitu kingine chochote duniani kinachoweza Kukutoa hapo isipokuwa Kumuamini Yesu.
Usimuamini kama nabii Isa, Hapana Muamini Kama Mwokozi wa Ulimwengu Aliyekufa na Sasa Yu hai, Mwenye Uwezo wa Kusambaratisha kila Nguvu na za dhambi na mashetani. Yeye peke Yake.

Mambo ya Kufanya.
1: Vunja mikataba Yote ambayo unajua uliingia kwa kujua na upande huo wa giza. Tupa takataka zote za kiganga ulizowahi kupewa kama msaada, maana utakuwa umeongezewa majini tu.
2: Mwamini Yesu.Hakuna chochote wala yoyote nje ya Yesu atakayeweza kukusaidia katika hilo. Hiyo ni fact kuu izingatie sana.
Hapa nakushauri kwa Dodoma, Nenda kanisa la wasabato Pale mjini, Muulizie Mchungaji MMBAGA, utaelekezwa ofisi zake.
Anauzoefu mkubwa na kesi kama zako, Atakuombea na utakuwa huru kabisa.
Hatakuomba sadaka yako hata Sumni, Isipokiwa atakutaka udumu Kumuamini Yesu.
Usichanganywe na Miluzi mingi, Nimekuelekeza mahala sahihi, hutajuta, ila uwe muaminifu kuwa mkweli kwa Mungu, usifiche kitu. Ukimpa Yesu maisha yako, Utatembea Kifua mbele hata kama yatakusumbua yatakuwa yanapoteza Muda.

Upo katika Njia Panda ya Kuchagua Uzima au Kifo. Nakupendekezea Uzima katika Yesu. Wote waliofanya maamuzi haya kwa dhati Bila unafiki hawajawahi kujuta.
 
Dini yangu ni muislam ila siko vizuri sana katika masuala ya dini,ila nakumbuka siku za nyuma tatizo lilianza kidogokidogo ikanibidi kupata msaada kwa mtu mmoja ila kwa bahati mbaya ndo yakaibuka haya matatizo kwa ukubwa
Sawa ndugu Mungu ni baba wa wote Wakristo na Waislamu unachotakiwa ni kumwamini na kumwomba. Tafadhali usiende tena kwa waganga manake hao ni maajenti tu wa giza.

Kama ulikwenda kwa waganga tafadhali tubu kwanza kwa Mungu; kisha tupa kila kitu walichokupatia.

Tuna Mwita Mungu lakini jina la yule aliye Mungu wa kweli ni YESU! Usifikiri nataka uwe mkristo la hasha hata mimi siamini katika ukristo kama dini kwani dini ni kama vyama na kuna maslahi ya watu, ila naamini katika YESU KRISTO, yeye ni Mungu wa kweli mwenye nguvu na uwezo wote,

Hapo ulipo anza kuwasiliana na YESU hata kama hujawahi kufanya hivyo, usiogope YESU anakujua vizuri sana na anakupenda mno!

Sema Bwana YESU nakuamini kwamba wewe ni mwokozi wa ulimwengu wote, wewe ni mwokozi wangu. Kama kweli ulikufa kwa ajili yangu tafadhali nisaidie katika tatizo hili...taja tatizo lako kinaga ubaga....Karibu Bwana Yesu katika maisha yangu uwe Bwana na Mwokozi wangu, Nitakase kwa damu yako na kila uovu na dhambi, unilinde na kila uovu na hila za mwovu shetani na watu wake. Bwana Yesu nakuamini, nakutumaini nisaidie,

Kisha sali hivyo, nakushauri uende kwa wachungaji kama baadhi ya wengine walivyo shauri Nadhani kule Dodoma itakuwa sawa.

YESU akubariki na kukusaidia hadi mwisho. Usikate tamaa najua adui mwovu anaweza kupanga mipango ya kukukatisha tamaa kwani anajua mwisho wake unakaribia lakini simama na Yesu.

Ukiona shambulio lolote la mapepo usiogope chochote mwite Yesu yote yatakuwa shwari. Hakuna aliye juu ya YESU yeye ni Bwana wa mabwana na Mungu wa miungu. Amani ya Yesu Kristo ikae nawe.
 
Nashukuru sana ndugu sana hata mimi nimeamua kusimama upande mmoja wa maombi na kumwamini bwana Yesu Kristo kama msaada kwangu hata leo nimefanyiwa maombi sehemu fulani ila naamini nitafanikiwa japo kutakuwa na vikwazo vingi
 
Shukra
Dodoma kuna mchungaji anaitwa Mwakipesile kanisa lipo mailimbili wajenzi 0754 267 748 mpigie matatizo yako atkisaidia sana...
shukrani ndugu nitafanya hivyo kesho nitamwona nitakupa mrejesho
 
Kiimani wote wako vizuri halafu wanaenda kwa waganga wa kienyeji???

Kuwa makini sana mkuu inaonesha imani yako ni uvuguvugu na utatapikwa na Mungu muda si mrefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakiri ni kweli imani yangu ni vuguvugu ila najitahidi kusimama katika maombi na kumwamini bwana Yesu kristo mwokozi kwa kila kiumbe chenye shida katika ulimwegu huu
 
Back
Top Bottom