Nahitaji msaada wa haraka, hasira zitaniumbua mimi

Yaani wewe mtu ni mvuta bangi mzuri au muuza bangi sasa unatafuta wateja.

bangi si nzuri kabisa achana nayo

Hujui chochote hivyo sio mbaya kwako kutomboka tombaka hovyo.

Bangi siwezi kuacha, na nina muda maalum wa kuvuta, nusu msokoto naenjoy nakuwa jirani alie niumba.
 
Aisee, mnatakiwa mfanyie kazi anger management. Siku huzi kuna wataalamu wa kila fani. Pale MNH kuna wataalamu wazuri sana wa saikolojia na afya ya akili. Jaribuni kiwatembelea, wao wana njia nyingi za kufahamu shida iko wapi na jinsi ya kuwasaidia.
 
hata nikiambiwa nimefiwa sijali ,sijui baba mgonjwa sijali nimekuwa sijali lolote naishi tu kama mungu alivonipangia
lakini ''baadhi'' ya thread unazoleta na michango unayotoa haisadifu hiyo kauli..Anyway...''sijali lolote'' ni neno zito kuliko pengine unavyolitamka/kumaanisha...
 
Pole sana mkuu ila ungesema ni pombe gani maana kuna pombe hiyo balaa tupu imesababisha hali imekuwa ngumu[emoji86] [emoji86]
 
Mtafute prof. Ndossi ni mtaalam wa saikolojia, alikuwapo regency hospital.
 
nadhani upo kwenye lile kundi kila watz 4 mmoja ana kichaa cha msingi tafuta na wengine 4 tuunde timu ya vichaa
 
Pole sana.. inawezekana pia ukawa na upungufu mkubwa wa 'vitamin sperm'... Pia jitahidi kunywa Azam energy au Redbull itakusaidia kupungua hasira...
 
Aisee, mnatakiwa mfanyie kazi anger management. Siku huzi kuna wataalamu wa kila fani. Pale MNH kuna wataalamu wazuri sana wa saikolojia na afya ya akili. Jaribuni kiwatembelea, wao wana njia nyingi za kufahamu shida iko wapi na jinsi ya kuwasaidia.



Uuuuuupsiii mm mbona nimekutembelea mara kibao na shida yangu hujanisaidia

Btn mzima wewe za masiku mengi
 
Jaribu na maombi pia, hiyo hali sio ya kawaida usiipuzie hata kidogo, ukiamini iwe itakuwa. karibu KKKT ushirika wa kimara korogwe jmosi kwa maombi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…