miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
- Thread starter
-
- #81
amina na asante mkuuNdg. Una maradhi yanayoitwa Mood Swing !! hiyo hutokana na misongo isiyo isha.. Sasa tulizana.. Tiba ikikuvamia pale ulipo ingia bafuni ujimwagie maji!!! Kama wee ni mwiSilam basi chukuwa udhu haraka... God bless you na good luck!!
Hasira hasara, imeniletea hasara nyingi, kwa sasa ningekua nimechafuka mabegani lkn ilinitoa huko.asante mkuu nataka kupona
dahKatika watz wanne mmoja punguani, sndio wewe sasa
asante mpenzi ukipata nafasi nisaidieHasira hasara, imeniletea hasara nyingi, kwa sasa ningekua nimechafuka mabegani lkn ilinitoa huko.
Nashukuru nimepona 85%
Ukiamua unapona na nirahisi mno kwa bahati mbaya muda ni mfinyu kwa sasa ningekusaidia...pole kipenzi
Na wewe hasira inakufanya upige ulabu??Hasira hasara, imeniletea hasara nyingi, kwa sasa ningekua nimechafuka mabegani lkn ilinitoa huko.
Nashukuru nimepona 85%
Ukiamua unapona na nirahisi mno kwa bahati mbaya muda ni mfinyu kwa sasa ningekusaidia...pole kipenzi
NIPO CHARMING SAAANA ILA UKIINGIA KWENYE 18 ZANGU HAHwe umenizidi mi charming sana yeyote anaweza nitania bila woga ndiyo maana napo kasirika wengi hawaamini na huwa natetewa sana hata kama mi ni mgomvi
sehemu yoyote ile iliyotulia humfanya mtu kuwaza zaidi na kuwa na tafakuri kubwa zaidi.Ndio, sehemu ambayo haina kelele kabisaaa, halafu mie sio muumini wa pombe.
Nitafanya hivyo, ili tuwe na furaha woteasante mpenzi ukipata nafasi nisaidie
duh weka mbali na watotoNIPO CHARMING SAAANA ILA UKIINGIA KWENYE 18 ZANGU HAH
kweli kabisa asijaribu kuonjasehemu yoyote ile iliyotulia humfanya mtu kuwaza zaidi na kuwa na tafakuri kubwa zaidi.
so ukihitaji kuwaza vitu vya msingi nenda seshemu ya wewe peke yako kaa utulie hapo utawaza zaidi.
pia Pombe si nzuri haswa kwa watoto wa kike yaani usinywe pombe kabisa.
kama haunywi mshukuru Mungu wako.
nitashukuruNitafanya hivyo, ili tuwe na furaha wote
Njoo ulime wewe acha kuuza sura huko dar es salaam mnaanza kuchunguliana na dada zenu.Mzee wa songea
Mambo vipi?