Nahitaji msaada wa haraka, hasira zitaniumbua mimi

Kweli tunabadilika,mpaka wewe ''umemrecommend'' huyu mama..........

Anaweza kuwa tapeli lakini type za therapy zingine zikasaidia
therapy ya mtu tu kukusikiliza inaweza fanywa na yeyote mwenye uelewa...
ndo maana huyu jina lake likanijia
 
asante mkuu nimeelewa
 
Nakushauri muone Chris Mauki mtaalamu wa psychology huyu atakusaidia sanaa
 
Omba mungu scorpion atoke jela halafu uolewe naye hasira zako zote atazituliza
 
Pole sana, mimi nakumbuka nilikuwa nina hasira sana yaani nilikuwa nikikasirika kama kuna kitu kinanivaa aisee yaani hata uwe nani nikikaa kimya halafu ukiendelea kukaa mbele yangu aisee unaweza kujuta. Yaani i cant explain zile hasira, mimi nilipona baada ya kuokoka mafundisho ya kila siku day by day. Yaani sasa hivi hata nikiwa na hasira zikikaa sana ni dakika chache nasahau kabisa na ninasamehe. Lakini haikuwa rahisi kufikia hii stage!
 
Miss Chagga..Hizo ni roho za hasira..na kuna baadhi zinapita generation to generation..Mpe Yesu Maisha yako na utashinda hiyo roho...Pls pls pls acha pombe na tafuta ufumbuzi wa kiroho ndo salama yako..Ni hatari sana mwanamke kuwa hivyo...hakuna la kumshinda Yesu
 
Nipm number yako nikuelekeze jambo la kiroho....
 
Pole sana rafiki, hasira ni tatizo kwa watu wengi na hata Biblia inasema kila binadamu ana hasira ila tunatakiwa kuwa na kiasi katika hasira zetu.

Njia rahisi ni kuwa karibu na usomaji wa neno la Mungu kwa imani yako halafu uwe mtu wa kusali, maombi yanaondoa sana hasira.

Kila la heri kwenye kupambana na hasira. Imani yangu utalimaliza hili tatizo
 
hujafanya mapenzi mda mrefu hata kama umefanya basi hujawahi kufika kileleni hizo hasira zinatokana na kukosa utamu
 
asante mkuu
 
sawa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…