Nahitaji msaada wa haraka, hasira zitaniumbua mimi

Hasira zenu nyie wa mlima kilimanjaro aisee! Dawa ya hasira ni moja tuu,mtu akikuudhi mnamalizana hapohapo.....
 
Yaani wewe ni mimi jamani ... Huwa nina hasira mpaka vibaya ila mie huwa sidhuru mtu badala yake nitalia weee au kukaa kimya au nasinzia hapo ikiwa kama ni mtu anayenizidi umri ndio amenikwaza .... Ila kama ni umri wangu kushuka chini nitamuongelesha mpaka anachoka ilimradi tu asinikatishe ninapokua ninaongea aitikie kwa kichwa au aseme kweli kabisa [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji13] [emoji13] nikimaliza kuongea ila hazijaisha naliaaaaa mpaka machozi yaache kutoka basii hapo natulia na hasira kushnei
 
Jifunze kudharau vitu...kwenye dharau hawanaga hasira coz kila kitu wanachukulia poa
 
Naomba nielewe kitu kabla sijakushauri

ukipata hasira ndo unaenda kunywa ili ulewe na uzime?
na ukishazima unaliwa? na yoyote alie karibu?
ndo hasira zinaisha after ?

nieleweshe hapo kwanza
[emoji3] [emoji3] [emoji3] unataka ukale ninj
 
toa basi kaushauri kidogo kabla sijakutafuta naomba

Kuna mbinu nyingi unaweza kuzitumia na kubwa ni ku divert attention....yaani kila ukijua unakaribia hivyo au pata wao la kulewa basi either immediately fanya kitu kizuri unachopenda, inaweza kuwa kupika au nunua chakula, au ongea na rafiki kipenzi ambaye mmeshibana au ambaye hukuchekesha sana, watch a favorite show, vaa raba nenda for a walk, beach au drive..

Tuwasiliane ili nikupe options na some ideas..
 
Doh pole sana Rafiki yangu kwa yanayokusibu..Najua itakua kuna mambo magum umekumbana nayo ambayo yamekua mtihani kwako!plz tafuta njia ukutane na wataalam wakusaidie hiyo hali maana mie niliwahi kukumbwa na hiyo hali nilivyomaliza fom6 kutokana tu na matatizo yaliyonifika kipind hicho kiukweli nilitaman hata kufa nilivuta na kunywa hadi kutoroka hom but haikunipa ahuen ya maisha mpaka nilipopata tiba ya kimawazo..yaani saivi nipo okey yaani sina kinachoniumiza..nimejifunza kulet it go!! najua una namba zangu! i will check u my Bestfriend
 
yaani watu wa humu jf bhana, kila nikitaka comment wananiblock wanawahi wenyewe. bila hivyo ujue mm ndio ningekua wa kwanza kukuuliza kama umeolewa. kwa sababu nakupendagaga kuanzia zamani ujuege. usiwasikilizagage nijibugi mimi na najuaga wanavyosegaga kupetipeti. sanduku langu la posta 1081.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…