Nkamu londa kukuko abha mumbwani bhalangani.Mm Niko mbeya nna miaka 30 kamili ila niliwahi kuoa ndoa ikaota mbawa kwa maana nilitalakiana na mke,mna watoto wa3 kama uko tayar karibu pm but sitegemei kuish dsm maaan nipo huku kikaz na huku ndio nyumbani kwetu! Mawifi na wakwe watabisha hod kila siku!! Mm n mnyakyusa
Mbogamboga huna mke? Unakwama wapi wewe? Wenzio tumeshaoa kitambo tuNjoo pm best
Wow! Mkuu mbona povu😳😳Pumbav weka picha yako
😳😳😳Mkuu hayo mambo yapo tangia enzi na enzi, haujawahi kusikia kitu kinaitwa Pen Pal? sie miaka ya mid 90s enzi internet inaingia tulikuwa tunaoingia online megafriends kutafuta friends ,ukiingia mule mademu kibao wanatafuta wapenzi...kwahiyo hii kitu sio kipya ni cha zamani sana.
Am here! you made it😏.Habari wanajamvi nawasalimu kwa jina la Muungano
Mimi ni mwanamke wa miaka 27,
Sina mtoto
ninaishi Dar es Salaam.
Nahitaji mwanaume serious kwa ajili ya familia.
Miaka awe na 30 na kuendelea mwisho 40.
Awe christian.
Unajua kusex style zote?Habari wanajamvi nawasalimu kwa jina la Muungano
Mimi ni mwanamke wa miaka 27,
Sina mtoto
ninaishi Dar es Salaam.
Nahitaji mwanaume serious kwa ajili ya familia.
Miaka awe na 30 na kuendelea mwisho 40.
Awe christian.
Mahusiano hayana chamaKijana wa CCM unatafuta nini hapa?
KhahNjoo pm best