Nahitaji mpenzi (Mwanaume)

Si tatizo sana umri ila wengi 25..27 wanashida sana naprefer watu wazima au aliyewahi kuoa kabisa ila mgane.
Kama una rangi ya mtume, una umbo namba 8/6, sura ya mdoli, tabia njema, mvumilivu, Mcha Mungu, mwenye maadili, mtii na mnyenyekevu, Mkatoliki mwenye imani thabiti, nk.

Nitafute haraka ili ufaidi mema ya Nchi!
 
Habari wanajamvi nawasalimu kwa jina la Muungano

Mimi ni mwanamke wa miaka 27,
Sina mtoto
ninaishi Dar es Salaam.

Nahitaji mwanaume serious kwa ajili ya familia.
Miaka awe na 30 na kuendelea mwisho 40.
Awe christian.
Mbona hujaweka vigezo vingine mfano urefu, kifua six park, awe na gari, awe na kazi gani, asiwe mweusi sana, awe hajawahi kuwa na mke wala mtoto, nk.
Au hakuna vigezo kama hivyo ili na mimi muuza majeneza nijaribu bahati yangu ?
 
Mm Niko mbeya nna miaka 30 kamili ila niliwahi kuoa ndoa ikaota mbawa kwa maana nilitalakiana na mke,mna watoto wa3 kama uko tayar karibu pm but sitegemei kuish dsm maaan nipo huku kikaz na huku ndio nyumbani kwetu! Mawifi na wakwe watabisha hod kila siku!! Mm n mnyakyusa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom