Nahitaji mpenzi (Mwanaume)

Habari wanajamvi nawasalimu kwa jina la Muungano

Mimi ni mwanamke wa miaka 27,
Sina mtoto
ninaishi Dar es Salaam.

Nahitaji mwanaume serious kwa ajili ya familia.
Miaka awe na 30 na kuendelea mwisho 40.
Awe christian.
Mm natafuta mtu wakumfundisha uchawi
 
Kwa hiyo wewe tabia huangalii??
Siku hizi hakuna mwanamke mwenye tabia njema walishakufa wote miaka ya 90
Siku hizi tunaangalia sura na umbo ukiridhika unabeba tu tabia mtajuana mbele kwa mbele
 
Hawa wenza wa kutafutwa kwenye mitandao! Mmmh!!! Maisha yamebadilika sana. Sisi vijana wa kale tunastaajabu sana na haya mabadiliko ya kutafuta wenza kwenye mitandao.

Kiongozi Kwani hujui kuwa maisha yamebadilika sana ( Technologia)
  1. Zamani watu walikuwa wanasikiliza habari kwenye radio siku hizi TV
  2. Zamani simu zilikuwa za kutuma meseji na kupiga tu; siku hizi unapata whatsup, Twitter, Skype na kuweza kuongea live nk
  3. Enzi zako ukitaka internet hadi uende internet caffee...sasa hivi unaipata kwenye simu hadi kule mwisho wa reli
  4. Zamani ukitaka habari ni hadi upate Radio, siku hizi hata hiyo simu inakupa taarifa zote (Radio, TV, BLOGS nk)
  5. Sasa kama unaweza kupata yote hayo pamoja na taarifa zote muhimu kwenye simu/mtandao kwa nini usitumie hiyo fursa kupata taarifa muhimu kama Mchumba?
  6. Sioni cha ajabu hapo ni suala la kutumia tu teknolgia kuturahisishia maisha na amini usiamini mengi zaidi yatakuja pale tukiingia 5G
 
Hawa wenza wa kutafutwa kwenye mitandao! Mmmh!!! Maisha yamebadilika sana. Sisi vijana wa kale tunastaajabu sana na haya mabadiliko ya kutafuta wenza kwenye mitandao.

Mkuu hayo mambo yapo tangia enzi na enzi, haujawahi kusikia kitu kinaitwa Pen Pal? sie miaka ya mid 90s enzi internet inaingia tulikuwa tunaoingia online megafriends kutafuta friends ,ukiingia mule mademu kibao wanatafuta wapenzi...kwahiyo hii kitu sio kipya ni cha zamani sana.
 
Mm Niko mbeya nna miaka 30 kamili ila niliwahi kuoa ndoa ikaota mbawa kwa maana nilitalakiana na mke,mna watoto wa3 kama uko tayar karibu pm but sitegemei kuish dsm maaan nipo huku kikaz na huku ndio nyumbani kwetu! Mawifi na wakwe watabisha hod kila siku!! Mm n mnyakyusa
Hahahah ashindwe yy tu
 
Habari wanajamvi nawasalimu kwa jina la Muungano

Mimi ni mwanamke wa miaka 27,
Sina mtoto
ninaishi Dar es Salaam.

Nahitaji mwanaume serious kwa ajili ya familia.
Miaka awe na 30 na kuendelea mwisho 40.
Awe christian.
Dah....hapo kwenue serious...Sifa zimenitupa nje tena....Basi kazi iendelee

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom