mkulima 111
Member
- Oct 22, 2012
- 26
- 6
jamani kila nikitembelea jukwaa hili sion post ya mtu anae hitaji mkulima! leo nafunguka nahitaji mke anae weza mambo ya kilimo!......... sifa awe na akili timamu..........umri kuanzia 25-38....Elimu kuanzi dalasa la 7 na kuendelea........akiwa na mtoto mmoja sio tatizo.... awe tayari kukaa bush....
kuhusu mimi..... nina miaka 40.... Elimu yangu nina digree ya kilimo ....nina mtoto 1... naishi Moro ...sina mke.... nakunywa pombe kwa usitarabu sio chapombe! namkaribisha atakae vutiwa nami ani pm
kuhusu mimi..... nina miaka 40.... Elimu yangu nina digree ya kilimo ....nina mtoto 1... naishi Moro ...sina mke.... nakunywa pombe kwa usitarabu sio chapombe! namkaribisha atakae vutiwa nami ani pm