Nahitaji Mjamzito anipatie au nipate Mtoto (Kiume au Kike) ili nimlee mtoto kama wangu

Tafuta mwanamke tia mimba akuzalie

Wanaume akikili sijui huwa mnapeleka wapi, hata niwe nakufa maskini, sikupi mtoto wangu kirahis namna hiyo.
Hivi angekuwa na uwezo huo angekuja hapa kweli????
 
Kuelewana tu
images (3).jpeg
 
Nina uhitaji wa mtoto, sasa endapo atakuwepo mdada ambaye ni mjamzito miezi 5-8 nahitaji akizaa mtoto awe wakwangu anikabidhi basi tuwe tumemalizana nitamlea mwenyewe kwa vyovyote vile na nitamuingiza kwenye ukoo wangu. nafahamu kuna vituo vya kulelea yatima ila sihitaji huko mbali sana na process za kurithi ni ngumu sana. huu ni kama msaada kwa mama mjamzito kama atakuwa ni mtu ambaye labda hakupanga kuzaa ila imetokea na hayuko tayari kuwa na huyo mtoto.

cc Equation x

Sio msaada sema huwezi mambo. Wazo jema wamekusikia
 
Hivi kutokuzaa kunasababishwa na ukosefu wa nguvu za kiume. Funguka mkuu nina la kujifunza hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nguvu za kiume hazina uhusiano wa mbegu za uzazi,unaweza kuwa unapiga show masaa3 ila unakojoa maji,mbegu hazikimbii,vichwa vibovu hazina nguvu,na sabab nying yan unakuwa huna hata mbegu moja,mwengine akawa anachomeka sekunde kadhaa kakojoa akatia na mimba
 
Nina uhitaji wa mtoto, sasa endapo atakuwepo mdada ambaye ni mjamzito miezi 5-8 nahitaji akizaa mtoto awe wakwangu anikabidhi basi tuwe tumemalizana nitamlea mwenyewe kwa vyovyote vile na nitamuingiza kwenye ukoo wangu. nafahamu kuna vituo vya kulelea yatima ila sihitaji huko mbali sana na process za kurithi ni ngumu sana. huu ni kama msaada kwa mama mjamzito kama atakuwa ni mtu ambaye labda hakupanga kuzaa ila imetokea na hayuko tayari kuwa na huyo mtoto.

cc Equation x
Hii njia unayotaka kutumia inachangamoto kubwa kuliko hiyo ya kwenda kwenye vituo vya kulelea watoto. Umejaribu kuulizia vipi kuhusu sheria za hapa Tanzania zinasemaje?
 
Nina uhitaji wa mtoto, sasa endapo atakuwepo mdada ambaye ni mjamzito miezi 5-8 nahitaji akizaa mtoto awe wakwangu anikabidhi basi tuwe tumemalizana nitamlea mwenyewe kwa vyovyote vile na nitamuingiza kwenye ukoo wangu. nafahamu kuna vituo vya kulelea yatima ila sihitaji huko mbali sana na process za kurithi ni ngumu sana. huu ni kama msaada kwa mama mjamzito kama atakuwa ni mtu ambaye labda hakupanga kuzaa ila imetokea na hayuko tayari kuwa na huyo mtoto.

cc Equation x
Nitafute
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom