Nahitaji Mjamzito anipatie au nipate Mtoto (Kiume au Kike) ili nimlee mtoto kama wangu

Pole sana mkuu maana nathani unapita kwenye hali isio ya kawaida ndio maana unauhitaji huo.
Ingawa sio rahisi sana kama unavyotaka lakini binasfi nakutakia yote mema.
Ila usilazimishe sana kisichopo kiwe, na pia wanasema kikuepukacho kina heri ndani yake.
 
Huna lolote

Utakuwa umemdanganya mumeo una mimba.

Kwanini upange umri wa mimba? Kwanini ukatae yatima?

Subiri kuchukua watoto wale wanaotupwa.
 
Njia aliyoichagua ni ngumu sana, labda angejaribu kwenye gitua vya yatima, au agetafuta mwanamke mjamzito aliyebakwa, hajui baba wa mtoto, aoe mama pamoja na mtoto tumboni
Tusubiri kuona labda atapata....mpeni angalau mtoto mmoja tu
 
Hivi kutokuzaa kunasababishwa na ukosefu wa nguvu za kiume. Funguka mkuu nina la kujifunza hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili suala la kushindwa kumpa mwanamke uja uzito hasa kwa mwanaume inatokana na..

Upungufu wa Sperm.. low sperm count.

Sperm kushindwa kusmim mpaka kulikuta yai means hazina nguvu

Mashine kushindwa kusimama na kueject sperm kwa force ya kutosha kutia mimbaa...!!

Hizi ni baadhi ya factors but zinatibika mkuu
 
Asante kwa somo lako. Hii changamoto naipitia pia japo sijajua sababu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom